Black Coffee
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 1,936
- 3,195
Shukrani mkuu
nijumuishe kwenye taglist mkuu....Si kazi yangu kujishughulisha na makosa ya jinai. nilishangaa kidogo chifu aliponiamuru nifuatie tatizo la upungufu wa almasi.
Isingekuwa kwa sura aliyoonesha nilitaka kumwambia apeleke malalamiko yake kwa kamishna wa polisi au anipr uhamisho wa kwenda huko kama alikuwa hanihitaji katika idara yake.
Siku hiyo alivaa sura ya kutisha na sikuwa na la kufanya ila kukubali. Kulikuwa na ushahidi kwamba almasi zilizouzwa katika masoko nje ya nchi zilikuwa chache sana kulinganisha na kiasi kilichokuwa kinachimbwa kwa nini?
Idara ya upelelezi ya makosa ya jinai imejitahidi bila mafanikio. Askari polisi joel amegusa chanzo cha uhalifu akafa kayika ajali ya ndege siku chache kabla ya kufunga ndoa na mchumba wake amanda na uhalifu ukaendelea
Chifu alimtuma jack mbwile mpelelezi wa kawaida lakini maiti yake iliokotwa ikielea ziwa victoria na uzito wa jambo zima ukawa umetambuliwa. Ndipo nikatumwa mimi willy gamba
ITAENDELEA
weka vitu weak end leoNilikuwa shamba waungwana sio nia yangu kuwaangusha
Usijali mkuu, tunakuamini hujawi kutuangushaNilikuwa shamba waungwana sio nia yangu kuwaangusha
Jioni hii nikifika tu nashusha NemesisAsante King, Leo ni Jumapili natumaini utashusha nyingine maana wengine huu ndiyo ulevi wetu, hatuna ulevi mwingine.