KWA ANAYEKIHITAJI KITABU HIKI CHA KIGUU NA NJIA NA VINGINE VYA BEN MTOBWA KAMA DAR ES SALAAM USIKU, SALAMU TOKA KUZIMU, TUTARUDI NA ROHO ZETU NA VINGINE VINGI, NITAFUTE KWA KUPITIA 0712504985 AU 0763044459. KARIBUNI.
Kuna wakati babu alinishtua ghafla, “Angalia! Usikanyage jani hilo. Ukilikanyaga kama uko porini peke yako, utapotea siku nzima bila kuona njia ya kurudi nyumbani! Litazame vizuri jani hilo na ulikariri!”
aribu wa ‘Mtume wa Karagwe’ mwalimu Ibrahimu Kazigu.