Riwaya: Kiguu na njia

Vipi vitabu vya watunzi wengine naweza vipata pia
Kwa mfano kitabu cha marehemu Shaban Robert Kusadikika
Na kitabu cha Kezirahabi Rosa Mistka
Vipo kwenye maduka ya mjini, posta. Vinapatikana.
 
KWA ANAYEKIHITAJI KITABU HIKI CHA KIGUU NA NJIA NA VINGINE VYA BEN MTOBWA KAMA DAR ES SALAAM USIKU, SALAMU TOKA KUZIMU, TUTARUDI NA ROHO ZETU NA VINGINE VINGI, NITAFUTE KWA KUPITIA 0712504985 AU 0763044459. KARIBUNI.

Nikaona huo ulikuwa wasaa muafaka wa kutoa dukuduku langu. “Lakini babu,” nilimwambia. “Mbona usiku wa leo bundi amekesha akilia juu ya paa la nyumba yetu? Si wanasema bundi kulia juu ya nyumba usiku ni ishara ya balaa?”

ENDELEAAAAAA...
 
Duh inaonyesha riwaya nzuri hii mtunzi ameonyesha umahiri wake kwa kiwango kikubwa ni tegemeo langu itaendelea kuwa nzuri na ya kusisimua.

Tupo pamoja twende pamoja
 
KWA ANAYEKIHITAJI KITABU HIKI CHA KIGUU NA NJIA NA VINGINE VYA BEN MTOBWA KAMA DAR ES SALAAM USIKU, SALAMU TOKA KUZIMU, TUTARUDI NA ROHO ZETU NA VINGINE VINGI, NITAFUTE KWA KUPITIA 0712504985 AU 0763044459. KARIBUNI.

Kitu hicho kiliendelea kupanda juu, taratibu na kimyakimya kama kivuli. Nilianza kupapasa huku na huko kwa matarajio ya kupata tawi la mti lililokatika ili nilitumie kujitetea katika kupigania roho yangu. Sikupata. Akili fulani ikanishauri nijitetee kwa kukitisha kiumbe hicho kwa sauti. Nikakohoa kwa nguvu. Kwa mshango wangu kiumbe huyo alikohoa kwa sauti ya binadamu. Sikuyaamini masikio yangu. Nikakohoa tena.

ENDELEAAAAA


ake ukaelekea kiunoni mwake. Palipokuwa na kisu chake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom