Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,329
- 17,855
Hahahahaa bas we Willy 😛😛😛
Ewaaaa..apo sawa Nyaso...
Hahahahaa bas we Willy 😛😛😛
Ewaaaa..apo sawa Nyaso...
Teh teh....ila ubazazi upunguze lol
Hahaaa ubazazi ni nini jamani afu punguza wivu.....
Hakulipiza nini tena mkuu si umeona amemgonga F. K hadi kafa
Alimgonga FK kwa benzi lake mwenyewe.sema hasa kazi yake bado kummaliza aliyeua familia yake
According to the story,Mi nilielewa kwamba alieua familia ya Nyaso ni FK
Exactly hata mm nilhisi hivyo pia mkuu. Ila kwa nn Nyaso anamkumbusha willy ahadi yake au ndo."anamwemwesa"
Labda kama mwandishi alipitiwa.....hakuna uhusiano wowote wa historia chungu ya Nyaso na FK.....so hakulipiza...ila alimuua adui wa nchi (na mpenzi wake:cool2:)...
Ni kwanini FK aliua familia ya Nyaso? Tena akilenga hata watoto? Nadhani sio FK....
Wakati Nyaso akimhadithia Willy historia yake alisema alikua anamtumia FK ili apate fedha za kulipiza kisasi!
Mwandishi alijisahau hapa....stori ya Nyaso haikutimia....
Kwamba kwa nini muuaji aliteketeza familia?
Shukrani sana kidi kudi naamini burudan imefika ilivyokusudiwanaangalia uwezekano wa kuwaletea "UCHU" kama mambo yakienda vizuri itakuwa our next move.
Nimpe shukrani Willy Gamba 1 kwa kuanzisha safari hii ambayo kwa hakika imetuburudisha,kutusisimua na kutupa mafundisho mengi. Nakutakia ujenzi mwema wa taifa na pole na majukumu mkuu.
Nafurahi kuona kazi hii imefika tamati,tuisubiri hiyo UCHU nami ntakua nachungulia muda wowote nkipata chance. Cheers
nyie vijana hapana kabisa. mngesema lini mtaweka uchu bwana!!!!
Mnaonaje tukianza na JULY 7 then mnipe muda wa kuileta uchu?!mnasemaje wakuu
Mnaonaje tukianza na JULY 7 then mnipe muda wa kuileta uchu?!mnasemaje wakuu