Niwekee mkuu please utakua umenisaidia
Hiyo hapo mkuu
Sasa umejuaje kuweka link..? Mimi pia nimejaribu nimeshindwa au ukitumia simu huwezi kuweka link mpaka utumie labda tab,min au PC?
Mkuu kiukweli mimi nlikuwa sijui ila nikaamua kujaribu nikaona inakubali...nimetumia hikihiki kimchina changu. Pale kwenye options chagua 'copy post URL' then nenda sehemu unayotaka kuweka bonyeza 'paste' af endelea kufanya yako
Shukrani mkuu...! Umenisaidia kupitiliza
Karibu mkuu na mimi nafurahi kwamba na mimi naweza kusema jambo likamsaidia mtu
Fk ndio alieua familia ya nyaso. Na Nyaso kashalipa kisasiAlimgonga FK kwa benzi lake mwenyewe.sema hasa kazi yake bado kummaliza aliyeua familia yake
Ahadi ya pipiExactly hata mm nilhisi hivyo pia mkuu. Ila kwa nn Nyaso anamkumbusha willy ahadi yake au ndo."anamwemwesa"