Hivi Nyaso hakulipiza?
Hivi Nyaso hakulipiza?
Alimgonga FK kwa benzi lake mwenyewe.sema hasa kazi yake bado kummaliza aliyeua familia yake
Mi najiuliza yule Mwana wa Dar na huyu Nyaso haelekei kumuachia huyu itakuwaje hem bashiri bazazi mzoefu
Mi najiuliza yule Mwana wa Dar na huyu Nyaso haelekei kumuachia huyu itakuwaje hem bashiri bazazi mzoefu
atawaoa wote.
wakuu kwa kuwa imebakia sehemu moja riwaya hii ifike tamati na kwa kazi kubwa aliyoifanya Willy Gamba 1 kuileta hii kitu hapa mnaonaje nikimpa heshima yake ya kuja mwenyewe kutamatisha?
Subutuuu ......nakuka uhondo na nimeshafika mwisho ninekumbuka mbali sana
Saza Khantwe tufanye ww ndo Nyaso...
Alimgonga FK kwa benzi lake mwenyewe.sema hasa kazi yake bado kummaliza aliyeua familia yake
Hem malizia najulikana nini
Afu Khantwe akiwa Nyaso wewe lazima uwe FK.....! Ucjali Zabuni yako khantwe anaifikiria
According to the story,Mi nilielewa kwamba alieua familia ya Nyaso ni FK
Nipe rushwa..
Dah mbonna unaniweka nafasi mbaya hivi yaan mm niwe mhindi kweli?:what: