Riwaya: 'hofu'

Riwaya: 'hofu'

Safi sana mkuu tunasubiri sehemu ya mwisho..mtanange sio wa kitoto huu
 
uuuwii hapa mbona majanga iba kamuda utuondoe hofu kinachoendelea
 
Jana usiku nikwama kwenye foleni barabarani...basi haikua tabu...nilikua bize...safi kabisa...!

Asante Willy Gamba 1

Safi sana mkuu tunasubiri sehemu ya mwisho..mtanange sio wa kitoto huu
 
Last edited by a moderator:
ni jioni mkuu shusha tuendelee! asante kwa huduma hii.
 
huyu gamba vipi aisee au na yeye kapigwa na kitu kichwani amezimia
 
Gamba, pole kwa majukumu yaliyokubana sana hata hivyo tunakusubiri sana mkuu. shusha vitu nzagamba.
 
Back
Top Bottom