IGP keshaanza vimbwanga, pole inspector jamila but kazana buti usirudi nyuma
Uzuri wa insp. Jamila hatetereki, yupo kamili sana!
Mbona unahamishia comments pasipo husika nini shida?Labda hapo kwenye kadhalika!
Mbona unahamishia comments pasipo husika nini shida?
Namuaminia, mzima lakini mpendwa
Sorry, hii kitu huwa inantokea na mpk sasa sijaweza kujua huwa napress button gn, Evelyn Salt kama una idea naomba msaada wako! Mwenye kujua tafadhali?
mi sijui pia, waambie mods
Mii mzima wangu, wapita corridor gn? mbona hatuonani?