mamsapkhan
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 843
- 267
Nimeipenda hii stor sana niko kgm jaman naipataje naitaka sana
ndio maana JM alimuua yule mwenzie kwani alijua kuwa kuwepo na zile simu ni hatari kwa kazi yao,mtunzi hajakosea hata kidogoSijasoma toka mwanzo lakini sehemu hii ya 25 ina mapungufu. Majambazi wote huzitupa simu zao punde mara baada ya mawasiliano. Rejea tamthilia ya prison break season 2, michael scofield alikuwa na lundo la simu ambapo kila akiwasiliana na watu huitupa simu husika. Inaonekana mwandishi bado yupo mwaka 47.
Watu wote duniani hatuwezi kufanya kazi moja lakini kila mmoja anatakiwa kufanya kazi yake kwa weledi na kiubunifu zaidi. Kazi iliyofanywa kiuweledi huwezi kuikosoa kwa haraka na hovyohovyo hasa ktk 'technical issues'. Wahasibu, wanasheria, wanahabari n.k. kila mmoja awe makini ktk kazi zake.
Pamoja na yote, kazi yako ikikosolewa ni wazi kuwa watu wameikubali na wanataka uiboreshe zaidi.
Shida yetu waafrika, kuanzia ngazi ya mtu mmojammoja, familia, ukoo, mpaka serikalini, hatutaki kukosolewa. Mtu adui ni yule anaekosoa hata kama ni kwa technical issues.