chiko18
Senior Member
- Jan 6, 2015
- 151
- 106
Mapengo Junior wengine ni waungwana humu we malizia kiroho safi sehemu zilizobaki Mkuu.
Analeta pozi za ajabu asiambiwe?, na nilichosema ni cha kawaida2 akajikuta ana hasira za kike za kususa susa
Mapengo Junior wengine ni waungwana humu we malizia kiroho safi sehemu zilizobaki Mkuu.
uwiii tupiamo
Analeta pozi za ajabu asiambiwe?, na nilichosema ni cha kawaida2 akajikuta ana hasira za kike za kususa susa
Huu ni upuuzi ila kwa kuwa nimeshaishi na wapuuzi kama wewe chiko18 hivyo unipi shida...ntaendelea weka kadri mungu akipenda itaekwa mpk mwisho
Hii kauli yako ya tupiamo inafanya nihisi kama nakufahamu vile?!?!!!
Safi sana, nimekuelewa Mkuu, tupo pamoja
Ila mapengo usituchomeshe mahindi sana basi mdogomdogo mpk mwisho wa safari
Unanifaham mie???? Sidhani
Hata mie sidhani ila kama una ka-asili ya kanda ya ziwa vile.
Pole sana
Asante.
Karibu
Unajua huo usemi wako wa kuongeza viambishi huwa unatumika sana kanda ya ziwa. Ndo maana nikahisi vile. Mf; nipeko, wekamo, ilikujaga, tupiamo etc.