Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
Pole sana daktari
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
mimi naona umreport kwa Paw na alimwe ban .
huyu mtu hafai kabisa kwenye hii jamii
pole sana dr wetu
kiukweli wewe ni mmoja wapo wa watu naowaheshimu sana hapa jamvini nimeumia sana..pole sana ndugu yangu
na atakuwa mwanaume tu huyo tena nishamjua
Wee mbayaaaaaaa! (ya Joti) LOL
Ila nadhani hajavunja si umeona Invisible ame LIKE bandiko lake!
Naam, kwa jinsi nilivyoitafsiri
mimi naona umreport kwa Paw na alimwe ban .
huyu mtu hafai kabisa kwenye hii jamii
pole sana dr wetu
kiukweli wewe ni mmoja wapo wa watu naowaheshimu sana hapa jamvini nimeumia sana..pole sana ndugu yangu
na atakuwa mwanaume tu huyo tena nishamjua
Kuna uzi ulianzishwa kuhusu 'athari za tiGO'...nami nikachangia kutokana na taaluma na experience yangu nikihudumia waginjwa mbali mbali. Nikiwa na nia ya kutoa ukweli na kuelimisha jamii, naamini nina deni hilo kwa waTanzania kwani nilipata bahati/fursa ya kutumia kodi zao ili kupata taaluma hii. Na nimekuwa nikitoa elimu/ushuri/ufafanuzi wa masuala mbali mbali yahusuyo taaluma yangu si hapa JF tu, na forum nyingine mbali mbali kwa kuzingatia ukweli wa kisayansi. Kwenye thread ile ya 'athari za tiGO' nilikuwa nikifanya hilo.
Nimekwazika kukuta hii PM kwenye inbox yangu:
"habar mkuu Riwa. Aisee kwanza nakucfu ulivyo post ktk hyo thread juu. Ila nikuulize ww unaliwa au kula tigo? Cna nia mbaya isitoshe hatufahaamiani humu jf. "
Angeniuliza swali hili kwenye ile thread nisingechukulia kama ni kitu cha kukera au kunidhalilisha, lakini ameniPM, mtu huyu ana nia gani?...nimechukia!
Riwa usipoteze muda kukwazwa na mpuuzi asiye na Mungu ndani yake. Ungeleta ID yake hapa tukamfundisha adabu. Pole sana mkuu. Huyo kaishazoea mambo machafu, yamemzidi mpaka kujionyesha kwa watu.
Tunaheshimu sana mchango wako!
Dr Riwa usikute ni mgonjwa huyo(Analiwa tiGo) ebu mdadisi vizuri atiririkeeeee!!!
Kwa hiyo, kitendo cha Invisible kumpa LIKE amem-clear?
Umfunze adabu kwa kosa gani?
Wakati mwingine naonaga hapa JF ni kama kijiwe cha kupiga soga na ushkaji tu..inakuwa mimi labda nikiona kwa mfano snowhite kaandika hivi basi niku-support tu bila kujiuliza mara mbili mantiki na mudhui ya jambo husika...kiufupi mada na michango yetu wengi wetu hapa JF haiko impartial zaidi tunaangalia nani kaandika nini basi na sisi tunafuata tu...
Kuhusu mada hii hapa kwanza imevunja 'sheria za JF kwa kuanika PMs hadharani'...na hapo watu wala hatupagusi tumekalia tu 'pole Dr'....Huwezi kuleta vitu vya PM in public na kufungua uzi..maana yake ni kutaka mjadala ambao sana sana utakuwa humtendei haki mtuma PM kwa sababu hataweza kushiriki kikamilifu kwa sababu tayari ushamuondolea confidence ya kushiriki na isitoshe ziko taratibu za kudeal na hii kitu...
Lakini la pili ni vizuri kuangalia KIINI cha tatizo...na hapa wengi hatupendi kwenda..yaani tunatoa hukumu kwa kutumia thread hii ya malalamiko tu...Ukiisoma vizuri thread ya MWANZO utaona KIMSINGI Dr Riwa hakuwa na nia mbaya wala mtuma PM hakuwa na nia mbaya (to me both were in good faith i guess)...Kwa sababu KIMSINGI Riwa alikuwa ana-counteract hoja za kuwa 'TIGO' ina madhara ya kuzibisha njia ya mkojo na kutanua mk... kwa wamama kiasi ambacho wanapata taabu kuzaa..Mkuu Riwa alifafanua kuwa TIGO kwa kiasi kikubwa haileti hayo madhara...zaidi akisistiza kuwa TIGO ikifanywa kwa USAHIHI haina shida...
Hivi katika muktadha kama huu mtu akileta SWALI kwa PM kukuuliza..'eti na wewe bro unatumia'??...Then, how do you get hungry and being upset??.....Hebu jamani tuweni transparent and sometimes impartial.....
i hate this so much at least imepungua siku hizi. zamani riwa angeshambuliwa na matusi ya nguoni kwenye uzi mzimaLabda niongezee kitu ambacho huwa sometimes nina-notice hapa JF.Ukijaribu kuwa impartial kwenye posts zako, sometimes baadhi ya watu wanaanza kuku-question.
Honestly ningetamani watu wengine washiriki huu mjadala...
kuna vitu vingi humu vinajaadiliwa ambavyo vimechanganyika...
ikiwemo na watu kutokuwa honest.....
Mtu akisema hakuna madhara je maana yake ameunga mkono?
what if hayo madhara kwake ni very minor? what if aliunga mkono lakini hashiriki?
mfano unaweza ulizwa swali hili...'unapenda bongo fleva'?
ukajibu ndio napenda....
swali lingine likawa 'utafurahi mwanao awe msanii wa bongo fleva?
jibu likawa hapana kabisa......
So nafikiri sio kila kitu mtu akisema its okay kwa watu wengine maana yake anaunga au kushiriki...
wapo watu hawanywi pombe lakini wanaingia bar kupiga story......na kunywa soda....
wengine hawanywi na bar ni haramu kugusa...
Nahisi DR Riwa alikuwa anajaribu kusema 'yeye haoni tatizo kwa wengine washiriki hata kama yeye hapendi'...
je hiyo ina justify kusema anaunga mkono?au kushiriki?
Mtu kama wewe siyo gay basi ni siyo gay hata wengine wasemeje, watamanije, waulizeje, na kadhalika.
Hivyo basi, ungepotezea tu.