EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,357
Wewe ushawahi kwenda hospitali ukakuta watu wanavyojieleza kwa Madaktari?
Ushafika maofisini humo ukakumbana na watu wamekuja kupata huduma za kiserikali?
Wabongo hatuna lugha professional hata kidogo tuwapo popote pale, kwa hiyo siwezi kuhukumu kwa maneno ya PM pekee bila ya kujua dhamira
*Tungekuwa tunajalia maneno ya kusema tungesema "asiyeweza kulipa nauli apige mbizi?", "Vile ni vijisenti tu" .......
Lakini PM haonyeshi kama alikuwa na dhamira mbaya maana kasema wazi kuwa "Cna nia mbaya".