Naona kuwa watu wamedhamiria kukera wenzao tu...nimeshasema, kwenye ile thread hakuna sehemu niliyosema kuwa 'tigo haina madhara'...nilichosema ni kuwa madhara yaliyoaninishwa na MziziMkavu kuwa tigo inaziba mkojo na kusababisha wanawake kunya wakati wa kuzaa...si kweli! Naona nawe unasisitiza hayo hayo, siwezi bishana nawe, amini utakavyo. Kama una mtoto, nenda kamuulize shemeji kama alikunya wakati anazaa...akisema ndiyo...jiulize kama tigo unakulaga wewe au wenzio wanakusaidia!
why did u bring this up? if your 16 y/o is gay then utamfundisha safe sex just as you would kama angekuwa straight au unadhani ukikaa kimya ndio solution. dolphins HAVE been observed to "swing both ways"Ningekuwa mimi wewe, nisingetoa hiyo elimu au kuweka hizo facts! Na ndio maana nimesema, unachagua nini cha kufundisha na nani unamfundisha. Na ndio maana nikatoa mifano ya waalimu wa dini walivyo careful katika kufundisha baadhi ya maandiko kwa kuangalia rika, elimu, uelewa na uimara wa watu katika imani. Sasa ya kwako imeenda open.
Je waweza kumwambia hivyo your 16yrs son, kuwa kula na kuliwa tigo hakuna madhara scientifically kabla hajakuuliza? Au utatumia vitabu vya dini kusisitiza jinsi gani sio mpango wa Mungu na against nature (sijaona mnyama afanyae hivyo hata dolphin ambaye naye anafanya sex kwa leisure kama sisi)?
kujitegemea ni personal drive, jifunze kutoka kwa hao wazungu/waarabu na uige mema yao. sikujua kama kuwa mwanangu gay means hafanyi kazi au anacheza michezo ya kikeUnapochagua (kumbuka una machaguo) nini cha kumfundisha mtu una malengo tayari na hiyo ni siasa dogo!
Wazungu wakiongozwa na wamisionary walitufundisha ustaarabu wa kizungu, inatucost hadi leo; waarabu walitufundisha ustaarabu wa kiarabu unatucost mpaka sasa. lakini katika hao hakuna aliyetufundisha kujitegemea kama mzazi alivyokuwa anamfundisha mtoto kusurvive. Wewe unavyomfundisha mtoto wa kiume kuwa asifanye kazi au kucheza michezo ya kike ni siasa pia.
wifi, hapa hakuna 16 yrs old sons. Unataka dr asituambie ukweli kwa sababu tu ya imani zetu? Sio sawa. Mamangu alifariki, lakini kwa sababu tu ya personal relationship na dr, alitupa all facts na tentative time of death. Tulifanya proper goodbye. Aliongea na mgonjwa, tukaongea hata plans na nina hakika mama alifariki anajua hata future plans za wanae. It was easier maana tulipomaliza msiba tulikuwa tumemaliza kweli. Sasa je, tusiambiwe tukabaki na maamuzi ya kuchagua fungu tutakalo? Kama mtaaluma huwezi kuangalia hearsays na kuziacha. Ni kama hadithi za kubemenda mtoto
Dr.Kuna uzi ulianzishwa kuhusu 'athari za tiGO'...nami nikachangia kutokana na taaluma na experience yangu nikihudumia waginjwa mbali mbali. Nikiwa na nia ya kutoa ukweli na kuelimisha jamii, naamini nina deni hilo kwa waTanzania kwani nilipata bahati/fursa ya kutumia kodi zao ili kupata taaluma hii. Na nimekuwa nikitoa elimu/ushuri/ufafanuzi wa masuala mbali mbali yahusuyo taaluma yangu si hapa JF tu, na forum nyingine mbali mbali kwa kuzingatia ukweli wa kisayansi. Kwenye thread ile ya 'athari za tiGO' nilikuwa nikifanya hilo.
Nimekwazika kukuta hii PM kwenye inbox yangu:
"habar mkuu Riwa. Aisee kwanza nakucfu ulivyo post ktk hyo thread juu. Ila nikuulize ww unaliwa au kula tigo? Cna nia mbaya isitoshe hatufahaamiani humu jf. "
Angeniuliza swali hili kwenye ile thread nisingechukulia kama ni kitu cha kukera au kunidhalilisha, lakini ameniPM, mtu huyu ana nia gani?...nimechukia!
why did u bring this up? if your 16 y/o is gay then utamfundisha safe sex just as you would kama angekuwa straight au unadhani ukikaa kimya ndio solution. dolphins HAVE been observed to "swing both ways"
kujitegemea ni personal drive, jifunze kutoka kwa hao wazungu/waarabu na uige mema yao. sikujua kama kuwa mwanangu gay means hafanyi kazi au anacheza michezo ya kike
Gaijin hivi mla tigo siyo gay? Ni anayeliwa tuu?
Kama aliyemtumia PM angeuliza hilo swali kwenye thread husika sidhani kama ingeleta shida.
Lakini kumvuta kona na kumwuliza huko, Mhn!
Ngoja na mie nisubiri ukiongelea mambo ya lesbian lazima nikuvute kando kwa maswali zaidi. lol
He he he, sina hakika kama nakubaliana na wewe
Maana naweza pokea PM 10 zenye vitu vya 'nja' kali
Naona kuwa watu wamedhamiria kukera wenzao tu...nimeshasema, kwenye ile thread hakuna sehemu niliyosema kuwa 'tigo haina madhara'...nilichosema ni kuwa madhara yaliyoaninishwa na MziziMkavu kuwa tigo inaziba mkojo na kusababisha wanawake kunya wakati wa kuzaa...si kweli! Naona nawe unasisitiza hayo hayo, siwezi bishana nawe, amini utakavyo. Kama una mtoto, nenda kamuulize shemeji kama alikunya wakati anazaa...akisema ndiyo...jiulize kama tigo unakulaga wewe au wenzio wanakusaidia!
Hapa wanaume wanaokula tigo za wanawake hawaji identify kuwa ni gay kwa Bongo.....Sasa hatujui mhusika yeye ni jinsia gani. Hilo moja. Pili hatujui ameuliza kwa dhamira gani
*Btw you will never catch me talking about mambo ya lesbians, sina "mamlaka" nayo hata chembe
*Btw; kufatwa chemba kuulizwa professional opinion kwenye masuala mtu uliyochangia kwenye uzi nilidhani ni normal, mimi binafsi ishanitokea sana.
Kweli unafikiri hili swali aliloulizwa ni professional: "Ila nikuulize ww unaliwa au kula tigo? Cna nia mbaya isitoshe hatufahaamiani humu jf. "
How "professional" the question is professional?
BTW MziziMkavu na wewe umetumiwa PM?