Riwa: NImekwazika kupita kiasi..

Riwa: NImekwazika kupita kiasi..

Kwani wapi muuliza swali alisema Dr. Riwa anaunga mkono au kushiriki?

Ndio maana akauliza swali, yeye angotoa jawabu huko huko PM au angepuuza tu.

Kinachoendelea hapa ni kumhukumu mtuma PM kwa vile tu "Msema pweke hakosi"

Niko pamoja na wewe Mkuu Gaijin.. Nilitegemea Riwa angeweza kumsaidia muuliza swali privately bila ya wengine kujua.. Naona wengi wanamhukumu mtuma PM bila ya kuelewa alichokuwa anamaanisha..! Kuleta kile hapa kwa njia ya kumuhukumu its not acceptable..
 
Kwani wapi muuliza swali alisema Dr. Riwa anaunga mkono au kushiriki?

Ndio maana akauliza swali, yeye angotoa jawabu huko huko PM au angepuuza tu.

Kinachoendelea hapa ni kumhukumu mtuma PM kwa vile tu "Msema pweke hakosi"

Sijasema mtuma pm ana makosa
mimi naona humu ndani kuna homophobia tele
kuanzia kwa Dr Riwa mwenyewe mpaka members wengi wa jf..
mwisho inashindikana watu kuwa honest na misimamo yao..
wanaogopa kuhukumiwa.....inaonekana yeyyote atakaesema hana tabu na miichezo hiyo
anajumuishwa lol...
 
Hakuna mtu mwenye license ya kusema kitu wazi kwa msimamo sahihi kama daktari kwenye suala hili, lakini Riwa kafinyanga finyanga baina ya personal opinion na medical opinion

Hao wengine sio hawana misimamo kwa kuwa ni homophobic, ni kwa sababu Watanzania wengi hatujazowea kuwa na misimamo ambayo tofauti na mazowea, iwe kwa lolote lile

Sasa kwa jambo hili likazidi.
 
The fact kwamba amesoma hiyo post na katoa LIKE, inamaanisha:
1. Hajavunja hiyo sheria au
Whether or not amevunja hiyo sheria, will depend on whether alikuwa na nia ya kumchafua? Ndiyo mwanzo nikauliza how do you establish hiyo nia? Utatumia vigezo gani kujua kuwa alikuwa na nia ya kuchafuana?

2. Sheria inatafsiriwa tofauti (huenda inahitaji kumtaja jina muhusika ndio liwe kosa, au

Sheria haighusii kumtaja mtu jina. Inasema tuu maongezi binafsi baina ya "mwanachama na mwanachama (waliojisajili)". Labda hapa tunaweza kuona "lacuna" ya sheria ili ifanyiwe marekebisho? CC Invisible

3. Ame overlook kama binadamu au

Sheria ni msumeno, inakata kote kote. Pia ignorance of JF Rules is not a defense. Kila JF member is presumed to know JF rules.

4. Ukikerekwa sana unaruhusiwa kukosea au

Binadamu tunatakiwa kuwa wavumilivu. I am sure wapo members wengi tuu wanakerwa na PMs wanazopokea lakini wanakuwa wavumilivu and move on. It is possible nilishawahi kukukera somewhere lakini kwa uvumilivu wako, you took it easy.

5. They are buddies kiasi kwamba unaweza ignore makosa au

That will be really bad. Everyone should be equal before the eyes of JF Rules. Kama amevunja sheria, JF Rules zinatakiwa kuchukua mkondo wake regardless of how buddies you are.

6. Sijui!

It a right answer too, but I won't comment on that. lol

What do you think? Maana mtuma PM atakuwa ameumizwa kisaikolojia kwakweli, si umeona watu walivyom NAME na kum despise wakati kwa maoni yangu hana kosa kuuliza swali alilouliza!

OK, let me share my experience kama nikipigwa ban potelea mbali. Kuna thread moja Boflo alianzisha akisema kuwa "Ushoga umeshamiri tanzania, tuache unafiki." Baadhi ya watu walimwa-attack sana. But objectively, nilisema kuwa kweli wengi tunasema hatutaki ushoga lakini umeshamiri sehemu nyingi za nchi lakini hatuchukui hatua zozote kuukemea. Kuna member mmoja alikuja mpaka na data za aina mpya ya ushoga Dar Es salaam.

Baadhi ya watu wakanishambulia eti natetea ushoga, simply by arguing either objectively or being impartial. At the end of the day, member mmoja kwa kutoridhishwa na comments zangu kwenye hiyo thread alinitumia PM. I was bit upset with that PM ( I won't reveal its content), but nilimjibu kwa PM and moved on.

Kwa hiyo, on one hand, naelewa the way Riwa alivyojisikia ikizingatiwa yupo kwenye profession ambayo inasizitiza kuwa impartial kwenye kazi yake pale alipokataa kusema kama anaunga au anapinga ushoga.

On the other hand, kama mtu ukipokea PMs za aina hiyo ni bora kuji-restrain. Kama umeona umekasirishwa na content ya PM, badala ya kuanza kumpiga aliyetuma PM na kitu chenye ncha kali, log out of JF, log off your computer or switich off your phone and go out for a walk. Ukirudi you will be thinking reasonably, na utaona haina maana hata kuijibu hiyo PM. Then, nenda ChitChat kapunguze mastress as Kongosho na Asprin will always be there.
 
Kwa hiyo, kitendo cha Invisible kumpa LIKE amem-clear?
Inawezekana, maana siyo kuleta tuu "maongezi binafsi", bali kuyaleta "kwa nia ya kuchafuana".
Riwa anasema "[ame]kwazika kupita kiasi" na pia "[a]mechukia".

Suala hapo ni whether "kukwazika kwake kupita kiasi" na "kuchukia" mpaka kuleta maongezi binafsi hapa ilikuwa ni kwa "nia ya kumchafua" huyo mwanachama wa JF.

But how do you establish hiyo "nia"?

Binafsi si mtaalam wa mambo ya Sheria, bali ni Mwanasayansi. Sidhani kama weledi wangu kwenye kuichambua sheria hasa neno hadi neno utakua sahihi sana.....
Ni kweli kuwa "kwa nia ya kuchafuana" inaweza kuwa ngumu kueleweka moja kwa moja.
Labda tuanze kwa tafsiri ndogo tu, kwa jinsi nielewavyo neno "NIA" ni ule utayari wa kutaka kutekeleza wazo fulani, laweza kuwa baya au zuri.
NOTE: n shabaha, lengo, kusudi, azma. (tafsiri kutoka TUKI)

Kwa mantiki hiyo basi, Daktari baada ya kuchukizwa hakupaswa kuyaleta huku, kwa kufanya hivyo kwa kiasi fulani anaiweka wazi azma(nia) yake. Kumbuka mawasiliano ya PM ni binafsi baina ya pande mbili, kwa mtazamo wangu suluhisho lolote la kutofautiana lilipaswa kumalizwa huko huko PM.

Kitendo cha kuyaleta huku kwetu, binafsi ndio naweza kuamni kuwa kuna mtu hapa anadhalilishwa(tayari jambo limehusisha kadamnasi na si binafsi tena kama ilivyo PM).
Kwa bahati nzuri na hekima ya daktari ni kwamba hakumtaja moja kwa moja muhusika kwa jina.
Kumbuka hapo awali ulipoanza kuniquote, kuna mtu nilikua najaribu kumuelekeza kuwa sheria hairuhusu kutajana majina.
 
Hii thread is about homophobia zaidi kuliko kingine..lol..

...mimi naona humu ndani kuna homophobia tele
kuanzia kwa Dr Riwa mwenyewe mpaka members wengi wa jf..
mwisho inashindikana watu kuwa honest na misimamo yao..
wanaogopa kuhukumiwa.....inaonekana yeyyote atakaesema hana tabu na miichezo hiyo
anajumuishwa lol...
sidhani kama riwa ni homophobic based on his reaction. i have friends who are okay with me lakini sijawahi na siwezi kuwauliza kama wanakula/liwa tigo. its too personal a question to ask. i think PM-er angetumia staha zaidi kwenye swali lake. riwa's reaction is totally normal as he was answering as a doctor and didn't expect someone to respond in such a crassly manner
 
Nina swali, nikufuate PM?

Usije anika PM yangu hadharani bure

sidhani kama riwa ni homophobic based on his reaction. i have friends who are okay with me lakini sijawahi na siwezi kuwauliza kama wanakula/liwa tigo. its too personal a question to ask. i think PM-er angetumia staha zaidi kwenye swali lake. riwa's reaction is totally normal as he was answering as a doctor and didn't expect someone to respond in such a crassly manner
 
Hivi katika muktadha kama huu mtu akileta SWALI kwa PM kukuuliza..'eti na wewe bro unatumia'??...Then, how do you get angry and being upset??

Watu tunatofautiana sana bana - different personalities, temperaments, demeanours, etc., etc.

Kuna watu hata ukiwauliza wanafanya kazi gani wanakuwa offended. Wengine ukiwauliza wana uzito wa kilo ngapi za mwili wanachukia. Wengine ukiwauliza marital status zao wanakasirika.

Kwa hiyo sishangai sana Riwa ku take offense na hilo swali aliloulizwa. Labda yeye kachukulia kuwa kitendo cha kuulizwa hivyo ni kuhoji uanaume wake na kuna watu ambao huwa hawapendi kabisa kuhojiwa kuhusu hilo.
 
Kuna uzi ulianzishwa kuhusu 'athari za tiGO'...nami nikachangia kutokana na taaluma na experience yangu nikihudumia waginjwa mbali mbali. Nikiwa na nia ya kutoa ukweli na kuelimisha jamii, naamini nina deni hilo kwa waTanzania kwani nilipata bahati/fursa ya kutumia kodi zao ili kupata taaluma hii. Na nimekuwa nikitoa elimu/ushuri/ufafanuzi wa masuala mbali mbali yahusuyo taaluma yangu si hapa JF tu, na forum nyingine mbali mbali kwa kuzingatia ukweli wa kisayansi. Kwenye thread ile ya 'athari za tiGO' nilikuwa nikifanya hilo.

Nimekwazika kukuta hii PM kwenye inbox yangu:

"habar mkuu Riwa. Aisee kwanza nakucfu ulivyo post ktk hyo thread juu. Ila nikuulize ww unaliwa au kula tigo? Cna nia mbaya isitoshe hatufahaamiani humu jf. "

Angeniuliza swali hili kwenye ile thread nisingechukulia kama ni kitu cha kukera au kunidhalilisha, lakini ameniPM, mtu huyu ana nia gani?...nimechukia!
wewe jamaa acha kujishuku mbona jamaa anaonekana mstaarabu sana ,kwanza kaku pm
alafu wewe ndo unatuletea hapa,nafikiri hata hii taaluma yako ya uganga haikufai huwezi kutunza siri

kwa maoni yangu wewe nimpenda sifa tu huna lolote au hapo kwenye red ni mhusika wa hayo matukio ndo maana mtima unakuuma
ningekuwa mimi ningekuuliza hapohapo kwenye thread sio pm

Mambo binafsi yanaletwa hadharani.
"
Hii ni aibu!!
"
Moja ya sheria ya JF ni kukataza mambo ya PM kuletwa huku kwenye public
"
MODS mko wapi?
"
Inaonekana kuna ukweli kama alivyosema The Boss
"
Kuna dada mmoja aliwahi kuwa muwazi na kudai kuwa anatafuta mdada mwenzake wa kudo nae
"
Member walimtukana!
"
Nilisema,miongoni mwa waliomrushia maneno makali ni wanachama wa hiyo kitu
"
Leo ukweli umejiweka wazi!
 
Last edited by a moderator:
Honestly ningetamani watu wengine washiriki huu mjadala...

kuna vitu vingi humu vinajaadiliwa ambavyo vimechanganyika...
ikiwemo na watu kutokuwa honest.....

Mtu akisema hakuna madhara je maana yake ameunga mkono?

what if hayo madhara kwake ni very minor? what if aliunga mkono lakini hashiriki?

mfano unaweza ulizwa swali hili...'unapenda bongo fleva'?
ukajibu ndio napenda....

swali lingine likawa 'utafurahi mwanao awe msanii wa bongo fleva?
jibu likawa hapana kabisa......

So nafikiri sio kila kitu mtu akisema its okay kwa watu wengine maana yake anaunga au kushiriki...

wapo watu hawanywi pombe lakini wanaingia bar kupiga story......na kunywa soda....
wengine hawanywi na bar ni haramu kugusa...
Nahisi DR Riwa alikuwa anajaribu kusema 'yeye haoni tatizo kwa wengine washiriki hata kama yeye hapendi'...
je hiyo ina justify kusema anaunga mkono?au kushiriki?
THERE ARE THINGS IN LIFE THAT ARE DIFFICULT TO EXPLAIN...
​
:ranger:
 
EMT, siku hizi nimehamia siasa, teknolojia na mambo ya wakubwa.

Kuhusu PM, mbona mie sipati jamani? Nikiona mnasema mnapata PM najisikia kuwa na UPI-upungufu wa PM Inbox-in kwangu
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
The Boss sidhani kama hapa the trembling issue ni 'homophobiasis'...nadhani ni 'misinterpretation' of information..Binafsi nadhani Riwa amekuwa too defensive and suspicious kiasi cha kushindwa kuona the 'simple' meaning ya mtuma PM..Ni kweli 'ushoga' na mambo ya tigo ni issue zisiyovutia masikioni mwa wengi but i still believe yeye as a professional doctor would act on the PM more wisely than this...kama kaweza kufunguka in public anashindwaje kumaliza issues in private??...

Honestly ningetamani watu wengine washiriki huu mjadala...

kuna vitu vingi humu vinajaadiliwa ambavyo vimechanganyika...
ikiwemo na watu kutokuwa honest.....

Mtu akisema hakuna madhara je maana yake ameunga mkono?

what if hayo madhara kwake ni very minor? what if aliunga mkono lakini hashiriki?

mfano unaweza ulizwa swali hili...'unapenda bongo fleva'?
ukajibu ndio napenda....

swali lingine likawa 'utafurahi mwanao awe msanii wa bongo fleva?
jibu likawa hapana kabisa......

So nafikiri sio kila kitu mtu akisema its okay kwa watu wengine maana yake anaunga au kushiriki...

wapo watu hawanywi pombe lakini wanaingia bar kupiga story......na kunywa soda....
wengine hawanywi na bar ni haramu kugusa...
Nahisi DR Riwa alikuwa anajaribu kusema 'yeye haoni tatizo kwa wengine washiriki hata kama yeye hapendi'...
je hiyo ina justify kusema anaunga mkono?au kushiriki?
 
History has shown us that some of the biggest and staunchest homophobes are the ones who happen to be gays themselves. So go figure!

Exactly my point
Homophobia iko kwa watuwote hapa wanaopingana
 
EMT, siku hizi nimehamia siasa, teknolojia na mambo ya wakubwa.

Kuhusu PM, mbona mie sipati jamani? Nikiona mnasema mnapata PM najisikia kuwa na UPI-upungufu wa PM Inbox-in kwangu
wewe mama, jana 'ulilalamika' kwamba huombwi rushwa ya ngono leo unalalamika mengine. :becky:
 
Huwa nawashangaa sana wale wanaojaa jazba thru keybods na keypad.
"
Hivi nikimwambia Dark City ni mwizi(samahani babu ni mfano tu),je atakua kweli ni mwizi?
"
Hebu tujifunze kupuuzia mambo yasiyokua na maana!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom