Riverside ipandishwe hadhi! Nyama zinabondwa 24/7

Riverside ipandishwe hadhi! Nyama zinabondwa 24/7

Miaka hiyo nimenunua kimboka sana,nikitoka zangu mabibo hostel nateremka chap buguruni ,walikuwa wanauza buku mbili mbili ,nachukua mmjoja ,nikirudi mwingine hivyo hivyo hata mara nne hivi nikitoka hapo naenda zangu kupiga sd 105 saafi kabisa ila nilikuwa siendi na mtu yeyote kimya kimya.Kikubwa tuu sasa nimebadilika sana ,sina mambo mengi kabisa baadhi ya wanawake wananitongoza nawaangalia tuu kama boya
 
Back
Top Bottom