Risk ya mchawi kujigeuza mnyama...!

Hivi bro nikilijenga jicho la tatu na kulielekeza kukamua warembo tu si inapendeza zaidi [emoji127][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji5] [emoji5] [emoji121] [emoji121] [emoji121]
 
Haya mambo nimefanya sana nikaona yatanitia uchizi nikaacha,
Nikahamia kwenye mapenzi.
Sanaa ya mapenzi ina faida kuliko uchawi.
Unaweza ukapata faida3 kwa mkupuo, ie: mahusiano(urafiki), raha na uzazi.
Lakini uchawi faida yake ni kusanifu watu wasiokuwa na uwezo wa kichawi na kudhuru, basi hakuna kingine akipatacho.
 
Mkuu umenikumbusha kisa cha jamaa mmoja kule kanda ya ziwa, jamaa kaenda kujipima uwezo wa kujigeuza kama mshana jr anavyo twambia basi alivyofika akafanya yake akafaulu kajigeuza fisi. Alicho kosea nikujigeuza katika umbile la fisi jike kimbembe kikaanzia pale jamaa anaona kwapembeni kuhamaki kuna bonge la fisi Dume likataka mzigo.jamaa kaangaika huku nakule kumbia lakin wap hatimae lika mkamata kilicho fatia hapo sijui ila cha ajabu mpaka leo jamaa nishoga.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wapake kitunguu saumu kwenye paji la uso kifuani na kwenye viganja vya miguu na mikono.. Lakini kabla ya hilo waogeshee maji uliyochanganya na chumvi kidogo.. Jaribu hii hata usiku wa leo. Kesho nipe mrejesho
Asante huku kuna baridi kali na wameshaoga sasa ivi,, ntafanya kesho kaka
 
Toa elimu ya kutoa kichapo
 
Kijijin kwetu kuna mzee alikuwa na desturi ya kujigeuza nguruwe. Alipigwa mshale mmoja tu aliugua hadi mauti
Usiombe uwe na jicho la tatu kwani utashindwa kuishi kwa amani. Utaona mambo mengi katika ulimwengu wa roho. Unaweza ukaona mtu yupo uchi huku anauza chakula, unaweza kupanda gari lenye fisi ndani, je utahimili?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hicho kipande cha mkaa na chumvi una viweka/tumia kwa namna gani?
 


Miaka mingi iliyopita mjomba wangu aliingiliwa na nyoka ghafla huko kijijini. Cha kushangaza, yule nyoka alipofika mlangoni tu kutaka kuingia ndani akalipuka kama bomu kisha vile vipande vyake vikaanza kugeuka katika ubinadam, akamwagia unga fulani hivi na akaacha kugeuka. Mjomba akajipaka dawa fulani mwilini kujikinga na yatakayojiri baadaye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…