Mapenzi yatakuvuruga sanaHaya mambo nimefanya sana nikaona yatanitia uchizi nikaacha,
Nikahamia kwenye mapenzi.
Mapenzi yatakuvuruga sanaHaya mambo nimefanya sana nikaona yatanitia uchizi nikaacha,
Nikahamia kwenye mapenzi.
Kama yalishindwa huko nyuma hayawezi kamwe.Mapenzi yatakuvuruga sana
Acha wenge unakua kama sio msomiMKUU NAONA LEO ULOZI NA UCHAWI MAPEMA TU.MAANA NILISHAZOEA ILE MIDA YAKO YA WANGA
Kujigeuza umbo la kibinadamu kuwa mnyama ni uthubutu wa hali ya juu japo ni sifa kwa mtendaji ila anapaswa kuwa na msingi mzuri kwenye taaluma yake kwakuwa akikutana na nguvu kubwa kuliko yeye atapigwa dafrau na kupoteza maisha
Kuna wanga hupenda kujigeuza paka na kuingia kwenye majumba ya watu, sometimes panya au hata nyoka nk.. Sasa hawa ukiwavizia ukawalia timing ukawapa mkong'oto... Asubuhi yake utapata tu habari
Utasikia mzee fulani kaumia bega au kichwa au mkono nknk.. Na ukija kurudisha kumbukumbu nyuma unakuta pale ulipompiga yule mnyama ndio hapo hapo anapoumwa huyo mzee.. Na haendi hospital ataugulia nyumbani mpaka apone...
Risk kubwa ni pale wanapopata kipigo mpaka kupoteza maisha. Siku ya pili mtaani utaona turubai
Mkuu be aware unaweza kupata maradhi ukajuta.Kwa hiyo unashauri tuwabamize kwelikweli ukifanikiwa kuwa gumia siyo?
Mapenz Ndio Inakuwaje Sasa Mama AnguHaya mambo nimefanya sana nikaona yatanitia uchizi nikaacha,
Nikahamia kwenye mapenzi.
Hahaaaa leo mbona unaandika kwa kupet pet sana!Mapenz Ndio Inakuwaje Sasa Mama Angu
Sitak Kuitumia Week yangu Kwa Miguvu Mingi Ilihali Ni Siku Ya KupumzikaHahaaaa leo mbona unaandika kwa kupet pet sana!
Hahaaa i just love and spend all I have loving who I have.
Mashaallah!Sitak Kuitumia Week yangu Kwa Miguvu Mingi Ilihali Ni Siku Ya Kupumzika
Maneno Matam Vitendo Vzr Na Mambo Kadha Wa kadha Yenye Radha
Naskia huko mbeya kuna Mbwa kajigeuza binadamu na watubwakaona. kazua taharuki kubwaHii ni kaliba iliyojaa upweke na mateso japo kuna watu eti wanatamani wanatamani kuwa wachawi...
Mojawapo ya advertise ya kuwa mchawi ni uwezo wa kujigeuza umbo la kibinadamu na kuwa mnyama... Na binadamu wengine wasikujue kabisa kama wewe sio mnyama halisi.. Japo wanyama huwa wana hisia na maranyingi watajitenga na wewe ama kukufukuza...
Unapokutana na kundi la wanyama lakini kuna mmoja kajitenga na wenzake... Tambua tu kwamba huyo si mnyama halisi kwa asilimia kubwa
Kwenye mikusanyiko ya watu ukifanikiwa kuwa na jicho la tatu utaona mengi sana.. Pale kariakoo pale Ilala sokoni, buguruni nknk kuna wanyama wengi sana katikati ya makundi ya watu
Kujigeuza umbo la kibinadamu kuwa mnyama ni uthubutu wa hali ya juu japo ni sifa kwa mtendaji ila anapaswa kuwa na msingi mzuri kwenye taaluma yake kwakuwa akikutana na nguvu kubwa kuliko yeye atapigwa dafrau na kupoteza maisha
Kuna wanga hupenda kujigeuza paka na kuingia kwenye majumba ya watu, sometimes panya au hata nyoka nk.. Sasa hawa ukiwavizia ukawalia timing ukawapa mkong'oto... Asubuhi yake utapata tu habari
Utasikia mzee fulani kaumia bega au kichwa au mkono nknk.. Na ukija kurudisha kumbukumbu nyuma unakuta pale ulipompiga yule mnyama ndio hapo hapo anapoumwa huyo mzee.. Na haendi hospital ataugulia nyumbani mpaka apone...
Risk kubwa ni pale wanapopata kipigo mpaka kupoteza maisha. Siku ya pili mtaani utaona turubai
Kwa nn mkuuSimple, chukua mwiko uliosongewa ugali halafu haujaoshwa, lala nao kitandani ukiwa umeukumbatia kichwani. Ila baada ya hapo utakumbuka kila ulichokiona lakini hautaweza kusimulia kamwe wala hata kuandika ulichokiona
Utaishia kuwa mwendawazimu utaona wengine wasivyoona na utaanza kupiga kelele[/QU