Risk ya mchawi kujigeuza mnyama...!

Risk ya mchawi kujigeuza mnyama...!

Usiombe uwe na jicho la tatu kwani utashindwa kuishi kwa amani. Utaona mambo mengi katika ulimwengu wa roho. Unaweza ukaona mtu yupo uchi huku anauza chakula, unaweza kupanda gari lenye fisi ndani, je utahimili?
Ndivyo ilivyo tunaishi na maisha tusiyoyaona
 
Ndivyo ilivyo tunaishi na maisha tusiyoyaona
Mkuu hii mada yako imenifanya nianze kufikiri kitu. Kila nikitoka kwenda kwenye kinywaji ninapokua narudi kuna sehemu huwa namkuta mbwa jike ananisindikiza mpaka home. Wife alikua anamwogppa sana Mara ya kwanza lakini kwa sasa anamsifia sana kwamba anatulinda. Na huwa tunamkuta sehemu ile ile moja. Sasa ninawasiwasi asije kuwa ni mchepuko wangu ana fani ya kujibadili. anatusanifu tunavyoongea
 
hapana huwa kuna mizimu inatulinda... Mingine tuna asili nayo.. Mingine ni upendo tuu
 
Kuna siku kimbunga kilipita mitaa ya home, mbwa wetu akakifukuza huku akibweka sana, baadae kimbunga hicho kikatoweka,kuanzia hapo mbwa huyo akawa bubu yani habweki wala kutoa sauti yoyote mpaka mwisho wa maisha yake! Tulishangaa sana
 
Kigodoro cha wachawi yeye akataka kuleta ufundi... Wakamzima vocal... Waliblock mazima
 
Hii ni kaliba iliyojaa upweke na mateso japo kuna watu eti wanatamani wanatamani kuwa wachawi...
Mojawapo ya advertise ya kuwa mchawi ni uwezo wa kujigeuza umbo la kibinadamu na kuwa mnyama... Na binadamu wengine wasikujue kabisa kama wewe sio mnyama halisi.. Japo wanyama huwa wana hisia na maranyingi watajitenga na wewe ama kukufukuza...
Unapokutana na kundi la wanyama lakini kuna mmoja kajitenga na wenzake... Tambua tu kwamba huyo si mnyama halisi kwa asilimia kubwa
Kwenye mikusanyiko ya watu ukifanikiwa kuwa na jicho la tatu utaona mengi sana.. Pale kariakoo pale Ilala sokoni, buguruni nknk kuna wanyama wengi sana katikati ya makundi ya watu
Kujigeuza umbo la kibinadamu kuwa mnyama ni uthubutu wa hali ya juu japo ni sifa kwa mtendaji ila anapaswa kuwa na msingi mzuri kwenye taaluma yake kwakuwa akikutana na nguvu kubwa kuliko yeye atapigwa dafrau na kupoteza maisha
Kuna wanga hupenda kujigeuza paka na kuingia kwenye majumba ya watu, sometimes panya au hata nyoka nk.. Sasa hawa ukiwavizia ukawalia timing ukawapa mkong'oto... Asubuhi yake utapata tu habari
Utasikia mzee fulani kaumia bega au kichwa au mkono nknk.. Na ukija kurudisha kumbukumbu nyuma unakuta pale ulipompiga yule mnyama ndio hapo hapo anapoumwa huyo mzee.. Na haendi hospital ataugulia nyumbani mpaka apone...
Risk kubwa ni pale wanapopata kipigo mpaka kupoteza maisha. Siku ya pili mtaani utaona turubai
Duh! Au ndo yule mbwa kule Kusini mwa Tanzania?
 
Kuna mwalimu mmoja wa dini alisema uende jini mzee alikua anapita maana utembea kwa vimbunga viumbe hao wakizeeka, na akamdhuru mbwa huyo kwa kukausha sauti yake! Sikumwelewa kipindi kile alimaanisha nini kwakua elimu hiyo nilikua sinayo kabisa
 
Kiuhalisia kwa sehemu kubwa vimbunga ni mashetani au majini na ukikiangalia vema utaona sura ya mnyama hasa joka au mbweha
_97856125_hi041804747.jpg
 
Samahani naomba unisaidie hata kwa ushauri to,,, nina watoto Mapacha ikifika saa sita usiku wanaamka na wanalia haswa tena ikifika saa nane ndo balaa mpk saa kumi au kumi na moja wanatulia
Wapake kitunguu saumu kwenye paji la uso kifuani na kwenye viganja vya miguu na mikono.. Lakini kabla ya hilo waogeshee maji uliyochanganya na chumvi kidogo.. Jaribu hii hata usiku wa leo. Kesho nipe mrejesho
 
Back
Top Bottom