Risk ya mchawi kujigeuza mnyama...!

Risk ya mchawi kujigeuza mnyama...!

Mmmh... Ila wasingemuua bali wangempa ulemavu wa kudumu.... Wanaobisha hawajawahi kukutwa na haya majanga
Anaekataa uchawi haupo, basi na aendelee kukataa vivyo hivyo. Nakupeni visa kadhaa vilivyowahi kutokea katika maisha yetu(Kifamilia).

Mnamo mwaka 2005 zikiwa zimebaki siku takribani 4 kufika Xmas, kuna mjukuu wa kwanza wa mama, alianza kuwa anaanguka, hapa ndipo nilipochoka. Humuoni akianguka, ila unamuona akijikung'uta tu kutoka chini.
Kile kitu kiliwashinda aliokuwa anacheza nao(wadogo zetu) wakamwambia mama, mama akajifanya mkali, anamwambia aache upumbavu wake wa kujiangusha, atampiga. Dogo akamwambia, bibi miguu haina nguvu na mimi sijiangushi! Mama akamwambia hebu njoo ukae hapa nione kama utaanguka, dogo akaenda kukaa mbele ya mama. Kidogo tukamuona anajikung'uta vumbi kutoka chini, mama akasema umefanyaje!!!? Hapo sasa wote tupo tunamuangalia.

Hatujakaa sawa, tukamuona tena anainuka kutoka chini, mama akasema tuingine ndani, ile kuingia ndani, tukamuona mlangoni anainuka kutoka chini, tukaingia ndani, akawa anaangalia juu pande zote za ndani akiwa amekaa kwenye kiti, mama nikamwambia aache ukali wake kwani hautasaidia chochote kujua ukweli wa unaosumbua.
Usiku ukafika tukalala, hali ikawa ile ile. Mama akanambia hebu mchukue mpeleke kwa fulani(huyo nloagizwa kwake alikuwa ni mganga wa majini alokuwa akitutibia nyumbani). Nikafika, nikamueleza, akachukua vitu vyake akaanza kumkanda miguu, akagunaaa, akasema huyu mbona Miguu imeshakufa! Ni ya baridi kabisa, ila haina shida nitapambana nayo. Akamkanda pale akanambia kaeni mpumzike kidogo, ukiondoka usiage wala kumsemesha yeyote ila ukifika nyumbani umwambie dada(mama sasa) aje jioni nataka aongee na Maimuna. Nikasepa nikafika hom, mama nikampa ujumbe jioni akaenda.

Akaenda kilingeni, yule mganga akapandisha, Maimuna kaja wakaanza kupiga stori hapo akamwambia kuna watu wanataka kumuua huyo mjukuu, asipofanya juhudi basi xmas ya mwaka huo itakuwa na msiba, mama akaelekezwa cha kufanya, akafanya huku dogo akaendelea na maisha fresh mpaka leo na yeye sasa hivi ana mtoto.
 
Sasa mkuu ukisha mpiga kama ni hyo paka au mbwa mpka kifochake pale pale anawezaje tena kurudi katka hali ya ubimadamu kama mwanzo?
 
Kile ni kiinimacho tuuu.. Unapiga mtu lakini wewe unaona ni mnyama
Sasa mkuu ukisha mpiga kama ni hyo paka au mbwa mpka kifochake pale pale anawezaje tena kurudi katka hali ya ubimadamu kama mwanzo?
 
Sikuaminishi kwa Experience nilioipitia pamoja na familia yangu ukubali kuwa uchawi upo!! Ila ninaamini uchawi upo na unafanya kazi ukiutaka.

Mara zote baba alikuwa akimkataza sana mama kuwa karibu na yule mganga ila mama hakusikia ila mwaka 2012 mambo yalikuja kutibuka kati ya mama na yule mganga, alipokuja mtoto wa dada na yeye alikuwa na majini. Siku hiyo tulikwenda shambani, yule mtoto wa sister akatibuana na mdogo wangu anaenifuata wakadundana hatari, mwisho wa siku yule binti akapandisha, akaanza kuongea ya kuongea hapo, muda huo mimj na mama tupo shamba, mama akapigiwa simu akaambiwa huku nyumbani fulani kapandisha na kabla wamepigana na fulani haswaa! Ila yamesema kwa kuwa wewe mwenye mji haupo, yanaondoka ila ukirudi yatakuja kuzungumza na wewe.
Baada ya simu kukatwa mama akanipa huo ujumbe pia, nikasema sawa. Jioni tumerudi, kabla hata hatujala cha usiku, bibie yule yakampanda, yakaanza kulalamika kwanza, mbona unamtesa mkiti wetu, chakula unacho hutaki kutupa, una roho mbaya sana we mwanamke. Basi mama akawaambia atampa, yakaanza kuongea sasa hapo yakamwambia kwa nini umekubali kuiteketeza familia yako na kuiinua familia ya mwingine!? Hao wanao na mji wako umeshatiwa mikosi na huyo unayemuita dada ako sijui mganga wako, hakuna uganga pale yule ni muongo na mzandiki mkubwa na mchawi! Huyo kijana hapo, natajwa mimi, kuna kitu alishakipoteza bado tu umemkumbatia, ataisambaratisha familia yako ukimlemaza.

Baada ya yale maneno kuongelewa, na yaliongewa mengi tu hapo jioni wote tuliopo tunasikiliza, ndipo hapo mama akawa kama kazinduka sasa, kule kwa yule mmama akakata mguu hata simu zake akawa hapokei. Ulifuatia msoto hapo hom haijawahi kutokea, mambo yalikuwa magumuuu! Sitokaa nisahau kipindi hiko, mpaka leo vitu havijakaa sawa.
 
Mmmh... Ila wasingemuua bali wangempa ulemavu wa kudumu.... Wanaobisha hawajawahi kukutwa na haya majanga
Mama ndiye aliyeambiwa na majini sasa sisi hatujui ingekuwaje, na kipindi hiko hom tulikuwa tunalindwa na majini, wanapeana zamu usiku na mchana. Hii dunia bas tu
 
Mkuu umenikumbusha kisa cha jamaa mmoja kule kanda ya ziwa, jamaa kaenda kujipima uwezo wa kujigeuza kama mshana jr anavyo twambia basi alivyofika akafanya yake akafaulu kajigeuza fisi. Alicho kosea nikujigeuza katika umbile la fisi jike kimbembe kikaanzia pale jamaa anaona kwapembeni kuhamaki kuna bonge la fisi Dume likataka mzigo.jamaa kaangaika huku nakule kumbia lakin wap hatimae lika mkamata kilicho fatia hapo sijui ila cha ajabu mpaka leo jamaa nishoga.
 
Hata mtoto wangu mdogo analia sana mida hiyo hivi mkuu *#mshana jr watoto wanauwezo wa kuona mambo mazito kuliko sisi?
Wapake kitunguu saumu kwenye paji la uso kifuani na kwenye viganja vya miguu na mikono.. Lakini kabla ya hilo waogeshee maji uliyochanganya na chumvi kidogo.. Jaribu hii hata usiku wa leo. Kesho nipe mrejesho
 
Nimecheka sanaaa walah, jamii forum Kuna raha bhanaa
Baada ya kugoma kwa muda mrefu ilibidi amtume mkewe akaja kuomba msamaha kwa niaba yake na kunisihi sana angalau nikmsalimie tu kwani kumuona kwangu ndio ilikuwa pona yake siku heshima anaishia kuniambia weww kijana mzito sana uliaga kwenu
 
Mmh sorry Baraja ni maeneo ya Pwani?
Mama ndiye aliyeambiwa na majini sasa sisi hatujui ingekuwaje, na kipindi hiko hom tulikuwa tunalindwa na majini, wanapeana zamu usiku na mchana. Hii dunia bas tu
 
akakata mguu hata simu zake akawa hapokei. Ulifuatia msoto hapo hom haijawahi kutokea, mambo yalikuwa magumuuu! Sitokaa nisahau kipindi hiko, mpaka leo vitu havijakaa sawa. hii nayo imekaaje
Sikuaminishi kwa Experience nilioipitia pamoja na familia yangu ukubali kuwa uchawi upo!! Ila ninaamini uchawi upo na unafanya kazi ukiutaka.

Mara zote baba alikuwa akimkataza sana mama kuwa karibu na yule mganga ila mama hakusikia ila mwaka 2012 mambo yalikuja kutibuka kati ya mama na yule mganga, alipokuja mtoto wa dada na yeye alikuwa na majini. Siku hiyo tulikwenda shambani, yule mtoto wa sister akatibuana na mdogo wangu anaenifuata wakadundana hatari, mwisho wa siku yule binti akapandisha, akaanza kuongea ya kuongea hapo, muda huo mimj na mama tupo shamba, mama akapigiwa simu akaambiwa huku nyumbani fulani kapandisha na kabla wamepigana na fulani haswaa! Ila yamesema kwa kuwa wewe mwenye mji haupo, yanaondoka ila ukirudi yatakuja kuzungumza na wewe.
Baada ya simu kukatwa mama akanipa huo ujumbe pia, nikasema sawa. Jioni tumerudi, kabla hata hatujala cha usiku, bibie yule yakampanda, yakaanza kulalamika kwanza, mbona unamtesa mkiti wetu, chakula unacho hutaki kutupa, una roho mbaya sana we mwanamke. Basi mama akawaambia atampa, yakaanza kuongea sasa hapo yakamwambia kwa nini umekubali kuiteketeza familia yako na kuiinua familia ya mwingine!? Hao wanao na mji wako umeshatiwa mikosi na huyo unayemuita dada ako sijui mganga wako, hakuna uganga pale yule ni muongo na mzandiki mkubwa na mchawi! Huyo kijana hapo, natajwa mimi, kuna kitu alishakipoteza bado tu umemkumbatia, ataisambaratisha familia yako ukimlemaza.

Baada ya yale maneno kuongelewa, na yaliongewa mengi tu hapo jioni wote tuliopo tunasikiliza, ndipo hapo mama akawa kama kazinduka sasa, kule kwa yule mmama akakata mguu hata simu zake akawa hapokei. Ulifuatia msoto hapo hom haijawahi kutokea, mambo yalikuwa magumuuu! Sitokaa nisahau kipindi hiko, mpaka leo vitu havijakaa sawa.
 
akakata mguu hata simu zake akawa hapokei. Ulifuatia msoto hapo hom haijawahi kutokea, mambo yalikuwa magumuuu! Sitokaa nisahau kipindi hiko, mpaka leo vitu havijakaa sawa. hii nayo imekaaje
Baada ya yule mdada wa nyumbani kupandisha na kuzungumza alozungumza, bi mkubwa yalimuingia sasa akilini na kabla ya huyo mdada kuongea kuna siku mama alikuwa anakwenda kwa huyo mganga, kaishika njia ya kwenda kwake akasikia sauti inamuita. Kugeuka akakuta ni kijana alowahi kuishi kwa huyo mganga wakashindwana akafukuzwa, akamuambia achana na huyo mama hakuna mganga hapo na familia yako utaitesa mno!!!

Sasa alipokuja kuunganisha na yale ya majini ya yule dada wa hom akili ikamfunguka
 
Back
Top Bottom