Zionist
JF-Expert Member
- Dec 5, 2017
- 1,870
- 3,014
Kinachokera zaidi unakuta wanaume nao wanawangia watu. ila ukimkamata mwanga mwanaume hakuna haja ya kumpiga mnamwendea kwa mtaalam anamuoteshea bonge la chura [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] !!! hapo unakua mmepuka hata uvunjaji wa sheria[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]session moja haimalizi masaa 12,... Kwakuwa mhusika halisi itabidi abaki ndani kwakuwa kivuli hakipo