Mtanganyika
JF-Expert Member
- Jul 18, 2007
- 1,601
- 964
Mkandara kwa mara nyingine umerudisha taste kwenye JF, I strong admire the articulation of your point, that shows maturity and braveness. Kudo mzee.
Politics ni kama mchezo, and sometime you have to play dirty to win. Hakuna swala la unfair kwenye politics, CDM needs to learn that. CCM will use every tactics kushinda mchezo, they will lie, steal and everything in between ili washinde. Na mchezo wa kuifunga CDM na Roma umefanikiwa kwa asilimia kubwa sana. CCM won that battle and CDM wanashindwa kutafuta methodology ya kusawazisha.
Kuwasaidia wale wengi ambao wanaangalia CCM katika national level, ambapo siasa bado nichanga sana nitawapa mfano wa Marekani. Mwaka 1960 John F. Kennedy alikuwa mgombea kupitia chama cha democratic na Richard Nixon alikuwa mgombea kwa Republican. Ikumbukwe ya kwamba Evangelical Church ni maarufu sana kusini mwa America, na JFK alikuwa ni mkatoliki, hivyo Republican walitumia njia chafu kwamba ukimchangua JFK maanayake Papa na Kanisa katoliki wataongoza America. Na swala hilo liingia vichwani kwa waamerica walio wengi. JFK baada ya kuona kwamba vita hii inamzidi aliamua kuchukua risky direction ya kufanya mdahalo na mapadri wa Evangelical church maharufu kama Houston Ministerial Association. In the end it pays off, this is what he said "I am not the Catholic candidate for President. I am the Democratic Party's candidate for President who also happens to be a Catholic. I do not speak for my Church on public matters - and the Church does not speak for me."
Alichofanya JFK ni kuondoa hofu kwa watu kwamba yeye ni mroma lakini ataingia madarakani kutetea haki za wamarekani wote kwa sheria ya katiba ya marekani. Nimeeleza hichi kisa sababu kinashaabiana na njia wanayotumia CCM na kukaa kimya hakuisaidii CDM bali kunaiweka pahala pagumu.
Mchezo uliobaki ni kwa CDM na DR. Slaa kufanya mdahalo na Mashehe, Maimamu na mamufti wa Tanzania. Mdahalo ambao CDM itawaruhusu mashehe wazungumze hofu zao na mashaka yao na CDM itazijibu. Hii itapunguza makali.... I know it's a hard choice, lakini leaders need to make tough choices na hiyo ndio tofauti ya JK and Obama, tough choices. Sasa kama Slaa anataka kuwa among the great leader this is an opportunity kuprove kwamba he can meet the challenge bar.
CDM wanatakiwa watembelee mikoa ya Kusini na zanzibar, sio kwa kufanya maandamano bali kuongea na hawa mashekhe kwa karibu. You don't cure ugonjwa kwa kukataa dawa, unakunywa hata kama ni chungu.....