Arushaone
Platinum Member
- Mar 31, 2012
- 15,237
- 13,567
Tujadili mikakati ya kumshinda nduli ccm achana na hizi habari zingine kwa sasa
Point!!

Mkuu Chadema hawatambui hilo, wanachojua wao ni KUFA AU KUPONA
Nimependa, haya mapendekezo tuliyatoa sisi wengine kwa Chadema wakati ule lakini nani alikuwa na muda wa kusikiliza wakati wote walikuwa wanagombea? Nakuhakikishia kama kweli Chadema wangekuwa wanataka kufanya vizuri mwaka jana kwa makundi mbalimbali wangeweza kwani hakuna jambo ambalo linapendekezwa leo halikupendekezwa wakati ule, na believe me, sidhani kama bado wanamawazo ya kubadilika - angalau CCM wamejionesha wanataka kuvua gamba. Kinachonitisha kuhusu Chadema ni kuwa when push comes to shovel, wataangushwa tena kwa sababu hawaambiliki na hata ukiwawekea idea nzuri kiasi gani mapajani mwao wengine wanafikiri unafanya hivyo kwa sababu una some ulterior motives.
Binafsi, kusema ukweli nimetambua kuwa ni kupoteza muda sana kujaribu kutoa mawazo ya kuisaidia Chadema. Wengi hapa wamekuwa wakitoa mawazo kwa miaka mitano, mawazo ambayo sote tunajua kama yangefanyiwa kazi kabla ya uchaguzi Chadema ingekuwa mbali zaidi kuliko hivi ilivyo sasa. Lakini tatizo ni kuwa bado utaambiwa "tupatieni mawazo tutayafanyia kazi!".
Hivyo, hata wenye kutoa mawazo yanayotokana na mapenzi kwa Chadema wanakaa pembeni na kuangalia drama inavyochezwa. Wafanye nini kingine isipokuwa kushika tama na kusikitika?
Naona unafukua makaburi ya zamanimkuu napita tu ila si ameteuliwa ubalozi?
mkuu napitia uzi wa mwana c c mNaona unafukua makaburi ya zamani
JF raha sana.Ni mpenda watu, mkweli, ana uchungu na Taifa na katika watu watakaokumbukwa katika kizazi cha sasa Dr. Slaa hatasahaulika. Kikwete anaweza kusahauliwa tena haraka na jina la Slaa likachukua muda. Kwani yuko mioyoni mwa watu wengi.
Lakini katika hulka za binadamu au tabia tulizonazo kuna wakati mtu muhimu huwa tunampinga, tunampiga na hatuoni thamani yake mpaka pale anapokufa! Kuna wakati watu walio na upendo na mawazo mazuri , mawazo na nia zao nzuri zikachukuliwa au kupokelewa tofauti na baadhi ya makundi ya wat.
Chadema walipaswa kujua kuwa kuna position na situation za kisiasa ..ambazo mara nyingi hazina logic zinaweza kuinua chama au kukiua, Ni vile tukaona Salim A. Salim hatakiwi kuwa rais wa Tanzania na Kikwete akawekwa! Tumeona mpenda vidosho Jacob Zuma akipendwa ....bila sababu
Chadema ilifanya kosa kumteua Slaa kuwa mgombea urais, makosa haya kisiasa ni ya kawaida, kwani haujui adui yako anasema nini, japo swala la kupakwa uchafu wa udini kutokana na background ya Slaa lilikuwa wazi na hapa risk management ilitakiwa
Leo hii wote tunajua position na mchango wa Slaa katika taifa bila kujali dini wala kabila..
Lakini kwa bahati mbaya kwa sababu zilezile nilizozisema 'no logic' existence ya Slaa ndani ya chadema inaonekana kukiua chadema zaidi kuliko kukipaisha na hali hii inaendelea na ikitokea makundi ya wale wanaoipinga chadema yakafikia kuwa na umoja, basi mwisho wa chadema ndio utakuwa umefika..historia inaonyesha huwa hivyo
Chadema; wakati CCM inajivua gamba , na nyie ni wakati wa Slaa kuondoka na kukisafisha chama chenye tuhuma za udini na wanaowachukia hawafichi kabisa.Situation is worse and if you will not do something , I am afraid!
Huu ni ushauri tu, kuna technic nyingi zinaweza kufanyika,.....ila zenu hatujaziona bado
Just Imagine maandamo mliyoyatangaza tayari yamegubikwa na udini! tunaposema hivi ni kwa upendo tu.
Najua wengi wanaweza wakatukana kama kawaida yao, wengine tumejifunza kupambana kuwaondoa watu tongotongo na kusimamia ukweli--mapambano ya fikra hayako kuipinga CCM bali na blind followers, ukweli mara nyingi ambao kama ungefanyiwa kazi tusingekuwa hapa tulipo
Mkitaka kusubiri subirini tu, will recall this post one day
I wish you good Luck!
Wabe.
Mkuu salam zakounaacha kufanya hizo risk assessment uchwara kwenye uozo ccm unazileta cdm kwa watu wa levo za profesa baregu! Kweli tutasikia mengi humu.
JF ni jungu kuuis this all that you learnt from Risk Assessment and Management?
hahaha!!
mwalimu wako kipofu!!
Mwaka 2011,miaka 6 baadae,muanzisha uzi alisema muta recall huu uzi. Je alikua sahihi au alipotoka? Wajuzi na wachambuzi watatuambia.Ni mpenda watu, mkweli, ana uchungu na Taifa na katika watu watakaokumbukwa katika kizazi cha sasa Dr. Slaa hatasahaulika. Kikwete anaweza kusahauliwa tena haraka na jina la Slaa likachukua muda. Kwani yuko mioyoni mwa watu wengi.
Lakini katika hulka za binadamu au tabia tulizonazo kuna wakati mtu muhimu huwa tunampinga, tunampiga na hatuoni thamani yake mpaka pale anapokufa! Kuna wakati watu walio na upendo na mawazo mazuri , mawazo na nia zao nzuri zikachukuliwa au kupokelewa tofauti na baadhi ya makundi ya wat.
Chadema walipaswa kujua kuwa kuna position na situation za kisiasa ..ambazo mara nyingi hazina logic zinaweza kuinua chama au kukiua, Ni vile tukaona Salim A. Salim hatakiwi kuwa rais wa Tanzania na Kikwete akawekwa! Tumeona mpenda vidosho Jacob Zuma akipendwa ....bila sababu
Chadema ilifanya kosa kumteua Slaa kuwa mgombea urais, makosa haya kisiasa ni ya kawaida, kwani haujui adui yako anasema nini, japo swala la kupakwa uchafu wa udini kutokana na background ya Slaa lilikuwa wazi na hapa risk management ilitakiwa
Leo hii wote tunajua position na mchango wa Slaa katika taifa bila kujali dini wala kabila..
Lakini kwa bahati mbaya kwa sababu zilezile nilizozisema 'no logic' existence ya Slaa ndani ya chadema inaonekana kukiua chadema zaidi kuliko kukipaisha na hali hii inaendelea na ikitokea makundi ya wale wanaoipinga chadema yakafikia kuwa na umoja, basi mwisho wa chadema ndio utakuwa umefika..historia inaonyesha huwa hivyo
Chadema; wakati CCM inajivua gamba , na nyie ni wakati wa Slaa kuondoka na kukisafisha chama chenye tuhuma za udini na wanaowachukia hawafichi kabisa.Situation is worse and if you will not do something , I am afraid!
Huu ni ushauri tu, kuna technic nyingi zinaweza kufanyika,.....ila zenu hatujaziona bado
Just Imagine maandamo mliyoyatangaza tayari yamegubikwa na udini! tunaposema hivi ni kwa upendo tu.
Najua wengi wanaweza wakatukana kama kawaida yao, wengine tumejifunza kupambana kuwaondoa watu tongotongo na kusimamia ukweli--mapambano ya fikra hayako kuipinga CCM bali na blind followers, ukweli mara nyingi ambao kama ungefanyiwa kazi tusingekuwa hapa tulipo
Mkitaka kusubiri subirini tu, will recall this post one day
I wish you good Luck!
Wabe.
Ingekuwa kushindwa kwa Chadema imetokana na hoja zilizotajwa na mtoa mada, hapo ni sahihi kulipa credit bandiko lake, lakini sababu za kushindwa ziko wazi kabisa.Mwaka 2011,miaka 6 baadae,muanzisha uzi alisema muta recall huu uzi. Je alikua sahihi au alipotoka? Wajuzi na wachambuzi watatuambia.
Kituko na yye leo hii anatoka povu chadema kuachana na Dr slaa!!! SuprisingMwaka 2011,miaka 6 baadae,muanzisha uzi alisema muta recall huu uzi. Je alikua sahihi au alipotoka? Wajuzi na wachambuzi watatuambia.
Nmeona nondo zako nashangaa cku hizi umebadilisha msimamo..... Nni kimekutoa upinzani mkuu!!Hahaha ....Wabe tumetoka mbali kweli ....
Utapata shida kuelewa ni nini hasa watu wanachosimamia humu?Nmeona nondo zako nashangaa cku hizi umebadilisha msimamo..... Nni kimekutoa upinzani mkuu!!
Nimependa, haya mapendekezo tuliyatoa sisi wengine kwa Chadema wakati ule lakini nani alikuwa na muda wa kusikiliza wakati wote walikuwa wanagombea? Nakuhakikishia kama kweli Chadema wangekuwa wanataka kufanya vizuri mwaka jana kwa makundi mbalimbali wangeweza kwani hakuna jambo ambalo linapendekezwa leo halikupendekezwa wakati ule, na believe me, sidhani kama bado wanamawazo ya kubadilika - angalau CCM wamejionesha wanataka kuvua gamba. Kinachonitisha kuhusu Chadema ni kuwa when push comes to shovel, wataangushwa tena kwa sababu hawaambiliki na hata ukiwawekea idea nzuri kiasi gani mapajani mwao wengine wanafikiri unafanya hivyo kwa sababu una some ulterior motives.
Binafsi, kusema ukweli nimetambua kuwa ni kupoteza muda sana kujaribu kutoa mawazo ya kuisaidia Chadema. Wengi hapa wamekuwa wakitoa mawazo kwa miaka mitano, mawazo ambayo sote tunajua kama yangefanyiwa kazi kabla ya uchaguzi Chadema ingekuwa mbali zaidi kuliko hivi ilivyo sasa. Lakini tatizo ni kuwa bado utaambiwa "tupatieni mawazo tutayafanyia kazi!".
Hivyo, hata wenye kutoa mawazo yanayotokana na mapenzi kwa Chadema wanakaa pembeni na kuangalia drama inavyochezwa. Wafanye nini kingine isipokuwa kushika tama na kusikitika?
Utapata shida kuelewa ni nini hasa watu wanachosimamia humu?
Hata huyo Waberoya hakumaanisha kile alichokiandika, kuna watu hata ufanyeje wao hawawezi kusema hili sawa.
Ahahahahaaà mkuu kumbe kunyanyua mkono ni tatizo??we dogo ndio maana unanyenyua mkono muda wote!!
sijabadili msimamo
ila chadema haishaurikigi wallah