Rished Bade kumsaidia Kitillya TRA

Rished Bade kumsaidia Kitillya TRA

wewe una jinsia gani?? kama ni mwanaume acha kumsifia mwanaume mwenzio hivyo.sisi mila na desturi si busara kumsifia mtu bila sababu za msingi.

nisingependa kuponda huu uteuzi kwa sababu huyu mtu hafahamiki kwa wengi na tatujui utenda ji wake ila kuna machache naomba tuwekane sawa

kwanza si kweli kwamba kila mtu aliyesoma ILBORU -UDSM au kupata point VII au point III-alafu firstclass degree ni kipanga au (genius) siyo siyo... kwa wale tuliofika Chuo Kikuu miaka ya nyuma kidogo mtanielewa namaanisha nini

mtu aliyepata firestclass katika fani za masomo ya biashara ni wa kawaida sana. kuna first class za fani nyingine ni balaa zaidi ya hiyo..... kama aliipata kwa miaka mitatu kwa wengine miezi sita wanaweza kuipata

tumjadili mteuliwa kwa mafankio yake siyo bla-blah ...ohh mara baclays.... ohoo BOT mara heee... motgage finance....kuzunguka zunguka katika maofisi hakuwezi kutushawishi watu makini

sasa je?? taaluma yake ya banking na CV iliyorembwa italeta ufanisi TRA ??? katika changamoto tulizo nazo kama nchi??.

watu wengi waliosoma finance/banking wana tatizo la uoga katika maamuzi wana tabia ya kukariri, na wengi si watu wa mikakati, ni watu wa routine jobs, TRA inahitaji mtu wa mikakati strstegist, nafikiri Economist au hata mtu wa engineering mwenye weledi katika fani ya Taxation anafaa zaidi

mimi binafsi sioni kitu hapa mpaka tuone utendaji wake

Mimi sihitaji kujua jinsi yake kwa kuwa jinsi yoyote aliyonayo ANALIWA
 
watanzania vijana wenzangu acheni unafiki na kujikomba, huyu bwana hana track record na ndio maana ataishie hizo kazi za kupewa na JK mtu wa kiwango na ujinga wake, hebu JK atuambie amefanya nini huyu bwana, Barcklays kuna asiyejua kwamba alishindwa kazi? trade expansion project imekufa chali hana lolote akatolewa kwenda Nairobi kwenye desk kuepuka makosa waliyofanya akakimbizwa kimbelembele mortgage finance against fine bankers kama wakina Charles Singili, ndio JK huyo Udini na ushenzi umemjaa mchezo kwenye vitu vya maana na maisha ya wtanzania na sisi tumerukia kulamba lamaba tu eti amefanya nini hapo mortgate finance amefanya nini hebu kaangalieni kama hamtakuta ulaji wa kishenzi wa hela za mkopo za kuja kulipiwa na wajukuu wetu, leto eti TRA mtoto mtogo hana track record upumbavu wetu wanatakiwa watu wa TRA wasomi tupinge huu ushenzi ushenzi wa Rais hii siyo mali yake, Bade huna uwezo hata watu wa institution ndogo kama Barclays wanajua umbumbumbu wako Kihara anahangaika na lidudu uliloloharibu unakimbie, hana uwezo angekua na uwezo si angeshaitwa kitaifa, wakina Kaberuka tunajidangaya watanzania kwa kupendeleana na kunyimana ukweli, eti majuzi tunaambiwa na Rais migiro kafanya makubwa yetu? wote tunajua kuwa UN kaboa kazi imemshinda makubwa kuliko nani, Kulima mama Mary Jane Kamm? Kuliko Sabeta Mwambenja? kuliko Stelga Tax? danganyeni hivyo hivyo nchi inarudi nyuma, kuliko Hilda Ngole? we can not wait for 2015 let us get rid of these substandard, religious, craps, hata mpambe vipi zero tu hamuwezi kutuendesha hivi rais wa kwanza kufikishwa Haigue


Mods mpo?au mko Rose Garden mnakula weekend,piga ban hii mtu haraka sana...hii sio barza ya kahawa mtu anaweza kuropoka chochcote atakacho,we have standards here right?
 
Kwa kuwa aliyemteua Bade ni kilaza basi hata huyu Bade ni kilaza pia... birds of the same feathers flock together!
 
Ni mara ya kwanza naona hapa JF nafasi ya unaibu inajadiliwa kwa kina kiasi hiki.
Ukiona moshi unafuka,...
 
Mkuu usije ukaambiwa mdini.

Hahahaaahahahahaha mimi nimeelezea tu observation yangu na kama kuna mtu ana record ya nafsi ya unaibu iliyojadiliwa kiasi hiki aiweke.

Leo Rais kamteua mnadhimu mpya wa jeshi na Mkuu wa JKT mpya. Its interesting kufuatilia kama nafasi hizo nyeti zitajadiliwa kwa kiwango sawa na nafasi hii ya unaibu.
 
Rished Bade, ni msomi anastahili kuchukuwa nafasi hiyo.

Appointment yake haikuwa ya kisomi. Alitakiwa apambanishwe na vichwa vya aina yake ili mbichi na mbivu zijulikane. Uteuzi usiokuwa wa kishindani umetupeleka pabaya miaka 50 baada ya uhuru.
 
Jamani huyu c ndo ameua Barclay Bank (T)?? alikuwa anatoa mikopo kwa marafiki zake tuu mpk ikapata hasara ndo akaja mkenya??? Kweli tanzania hii kuwa uyaone...Kila kitu ni kujuana na si utendaji.....Hakika huko TRA marafiki zake hatalipa tena kodi
halafu halahala totoz hapo TRA mumeisha
 
Hahahaaahahahahaha mimi nimeelezea tu observation yangu na kama kuna mtu ana record ya nafsi ya unaibu iliyojadiliwa kiasi hiki aiweke.

Leo Rais kamteua mnadhimu mpya wa jeshi na Mkuu wa JKT mpya. Its interesting kufuatilia kama nafasi hizo nyeti zitajadiliwa kwa kiwango sawa na nafasi hii ya unaibu.

Mkuu hapa unazungumzia Nafasi inayosimamia MAPATO YA TAIFA.......na kijana ni potential kuchukua either U-Kamishna General TRA au BOT Gavana Mtarajiwa..........

Huyu Kijana kwa ufupi tunaweza kumuita kama mmoja wa mastrategist makini......na sio mzungumzaji kama alivyo dogo Mchechu.........yeye ni mtendaji zaidi.......isipokuwa nachelea kusema Kinachonitatiza ni UKARIBU wake na FISADI Dr. Iddrisa........ni kama vile ilivyo kwa Prof Muhongo na Mstaafu Mkapa..........
 
Mkuu naona unaijua vizuri hiyo stori. Watoto wa mujini walianzisha kampuni na kuajiri wafanyakazi hewa kisha kupeleka payroll hewa na kupewa mikopo ambayo haikulipwa!! Kwani baada ya pale alienda Nairobi au alienda Mortgage Finance?

Baada ya matatizo makubwa ya mikopo pale Barclays na mlolongo wa ma fraud ilibidi ile benki ifanye maamuzi magumu ikiwa ni pamoja na kubadilisha uongozi. Sasa walichofanya kwanza kumuweka pembeni Bade wakampeleka Nairobi kwenye position kubwa tu kama lakini wengi waliona hii kama demotion. Nadhani Bade hakufurahia sana kukaa kule Nairobi ingawa ilikuwa kazi ya juu pia. Ilivyoanza hii Mortgage ndio akaingia akaachana na Barclays.

Matatizo makubwa ya Benki hii pia yalichangiwa na HR department kwa kuajiri watu bila kufanya background checks . Mwishowe wakaondoa HR mbongo wakaleta Mkenya,yeye ndio akaanza zoezi la screening ambapo watu wengi wenye vyeti magumashi na historia mbaya walitemeshwa. Ikabainika kwamba wengi walikuwa wameharibu huko walipotoka kwenye mabenki mengine na waliingia Barclays , tatizo kubwa ni HR mwenyewe hakufanya ufuatiliaji kutokana na speed ya expansion nadhani hawakuweza kutuma barua na kumfuatilia kila mtu ilibidi waajiri tu fasta fasta.

Tatizo lingine likaja ma Direct Sales Agents (DSA's) hawa walikuwa na kazi ya kutafuta wateja lakini walikuwa sio kama waajiriwa rasmi maana walilipwa commission. Sasa hawa nao walichangia kiasi kikubwa kuingiza accounts hewa na mikopo hea maana focus yao ilikuwa kwenye targets tu walizowekewa wapate hizo kamisheni zao. Hawa ndio walishiriakiana kwa karibu na hao wenye kampuni hewa kutoa mikopo hewa mwisho wa siku wakifuata pale ofisini wanakuta ni Kiosk kinauza soda!
 
Mkuu hapa unazungumzia Nafasi inayosimamia MAPATO YA TAIFA.......na kijana ni potential kuchukua either U-Kamishna General TRA au BOT Gavana Mtarajiwa..........

Huyu Kijana kwa ufupi tunaweza kumuita kama mmoja wa mastrategist makini......na sio mzungumzaji kama alivyo dogo Mchechu.........yeye ni mtendaji zaidi.......isipokuwa nachelea kusema Kinachonitatiza ni UKARIBU wake na FISADI Dr. Iddrisa........ni kama vile ilivyo kwa Prof Muhongo na Mstaafu Mkapa..........

Dr. Idrissa inawezekana ni mentor wake kwa sababu wako kwenye field moja na Idrissa ni mzoefu zaidi kwa mbali. Unajua mkuu katika hizi fani bila kuwa na mtu wa kukushika mkono unaweza kujikuta unahifadhi vyeti na medali makabatini. Naamini mtu yeyote anayetaka kupersue carrier in finance akipata fursa ya kufahamiana na kuwa karibu na Dr. Idrissa hatakubali ipotee...
 
Tatizo kubwa la viongozi wetu ni kuweka watu kwa kujuana kwenye post za kitaalamu,na nina uhakika hii ndio moja ya sababu zinazotufanya kurudi nyuma.Nina uhakika kama hii post ingalikuwa ya kushindaniwa basi huyu jamaa asingeipata. Wapo vijana wengi vichwa vyao vizuri sana hapo TRA lakini wameachwa.
 
Bade ni Msomali.

Ni mtanzania labda Ana asili...hiyo....

All in all Hadi mwisho wa mwezi uliopita jina la aliyekuwa apate hii Nafasi ya D DG TRA ( DG) .....ni BAshir Awale ...MD wa Stanbic.....,imekuwa Kama surprise jina la Bade kutoka.
Awali JK alikuwa anataka kutoa UDG kwa Director of income tax And excise duty Walid Juma....ila bahati mbaya ni mgonjwa kwa sasa na Mara nyingi yupo in and out Apollo......wengi walitegemea kuwa Baada ya kuwa Amekuwa mgonjwa hii Nafasi ingetangazwa.
 
A cardinal rule katika executive decision making ni hii: "When in Doubt of anything, leave it out". So mi navyoona kama huyu mtu hatuna uhakika na asili yake kwenye hii nchi ya kuchakachua vyeti na utambulisho--dawa iwe ni kuachana naye. Tanzania haina upungufu wa wataalam siku hizi. Achana naye....


Ni mtanzania labda Ana asili...hiyo....

All in all Hadi mwisho wa mwezi uliopita jina la aliyekuwa apate hii Nafasi ya D DG TRA ( DG) .....ni BAshir Awale ...MD wa Stanbic.....,imekuwa Kama surprise jina la Bade kutoka.
Awali JK alikuwa anataka kutoa UDG kwa Director of income tax ....ila bahati mbaya ni mgonjwa kwa sasa na Mara nyingi yupo in and out Apollo......wengi walitegemea kuwa Baada ya kuwa Amekuwa mgonjwa hii Nafasi ingetangazwa.
 
Uteuzi wa wanajeshi majuzi safi kwakua ni wakristo,Bade hafai kisa muislam.Hii ni nchi yetu sote
 
Uteuzi wa wanajeshi majuzi safi kwakua ni wakristo,Bade hafai kisa muislam.Hii ni nchi yetu sote


Chief of staff mpya is not the right choice and in the matter of fact it is a snub to carrier commanders....within five years ....Ndomba amepanda cheo toka Mkuu wa Mkoa....,Kanali,brigedia jenerali ,(chief of personel), CN - chief of national service ,Maj general ..this year and yesterday Luteni Jenerali....
Ndomba is just a political commiser...Kama JK...bora Shimbo ni carrier.....,kozi stahiki za makamanda wa juu wa TPDF...Iitwayo ....NDC.....alipelekwa karibuni tu....wakati kuna wenzake wamefanyaa hiyo kozi toka wakiwa makanali....,wamepiganisha operesheni ..etc.....vitu ambavyo Ndomba hajafanya....... It's a blow kuweka wanasiasa kwenye kazi proffessional just kwa kuwa ni washkaji.......kuna makamanda KAma Wescesilous Kisampa,,hamad Kijuu,..Na Rioba...ambaye amepelekwa PMO kuratibu maafaa kwa kuwa in military seniority Ndomba asingeweza kuvaa...u Luteni general akawaruka yeye na Kisampa ....ambaye alipelekwa Dafur kupiganisha..majeshi ya Africa .........Ndomba hajaanza kufanya operesheni hata moja ya kijeshi Kama kamanda Mkuu ...so simply ni mwanasiasa na ni mweupe.
 
Back
Top Bottom