Rished Bade kumsaidia Kitillya TRA

Rished Bade kumsaidia Kitillya TRA

ulipoandika hii comment hukujua ambacho kingejir 2015 kwel tujue kuweka akiba ya maneno

huyu janjaweed kama mtabiri comment ya 2012 imekuja kuwa kweli 2015, kweli yatupasa kuwa na akiba ya maneno. big up Janjaweed.
 
I stand to be corrected!!!!Rished akisaidiana na Waziri na mkenya mmoja akiitwa Tirus Mwithiga walikwapua vibaya sana kwenye mradi waexpansion ya barclays mpaka wakaondolewa. Rished akapelekwa Kenya na kuundiwa nafasi ambayo kimsingi hakukuwa na mtu hata mmoja chini yake. So akarudi nchini ndio wakawa wanamtafutia kazi.Mwanzo alikuwa apewe CEO wa PSPF, lakini baada ya kuona Muislam anaekaimu ametosha ndio wakaamua wamuweke hapo.
Katika expansion yao waliajili wadada vimeo wasio na vyeti kwa kiwango cha ajabu na ndio ukawa mwanzo wa kuanguka kwa barclays....mfano wa mtu alieajiriwa ni enzi hizo ni mbunge wa viti maalumu wa Arusha anaeitwa Catyherine Magige ambaye hata jina analotumia sio lake baada ya kufeli form four.
Huyu ni kiongozi dhaifu na hasiefaa....just wait time will tell.

Duuh! Mkuu ulitabiri hayo...
 
Hivi Rashid Bade kasoma shule zipi bongo msingi, upili na university ???
 
Naijua sana hii familia na namjua sana huyu kijana.

Ni mdogo wake Iliasa na mdogo wake Gale. dada yao alisoma na mke wangu. Ni watoto wa kinondoni hawa.
Kijana ni mzuri sana na alisomea Forodhani sec alipata Point 7.
Wakti naondoka Tz alikuwa BOT.

Hichi ni kichwa sana na pasi na shaka yoyote atawasaidia sana kukuza uchumi wenu uliodorola.

Watu hawa ni hazina kwa aifa la wenye mapenzi na nchi yao
Hongera sana Rished Mohamed Bade
.

Rushwa na ufisadi umekuwa fani zaidi kwake kwa kushindwa kazi na hata kufanyia kazi anayoyajua kama ya kontena.
 
Back
Top Bottom