Rished Bade kumsaidia Kitillya TRA

Rished Bade kumsaidia Kitillya TRA

Huyu unamjuwaa?

Professionally and career wise this Rished Bade appears to be the most unstable individual. Amekuwa na a very unstable career kwa vile in less the 18 years since finishing his BComm in UDSM in 1995 he has worked in 10 positions in 8 different organizations. In other words less than 2 years in each organization. You cannot entrust senior responsibilities to such a CAREER HOPPER! Tanzanians let us be careful - there must be something wrong with this guy - he seems to be running away from something!
 
Nakusalimia tu mkuu! Usiwe unapotea sana jamvini,nondo zako muhimu sana hasa kwa kizazi hiki kivivu!
 
Ni mtanzania labda Ana asili...hiyo....

All in all Hadi mwisho wa mwezi uliopita jina la aliyekuwa apate hii Nafasi ya D DG TRA ( DG) .....ni BAshir Awale ...MD wa Stanbic.....,imekuwa Kama surprise jina la Bade kutoka.
Awali JK alikuwa anataka kutoa UDG kwa Director of income tax And excise duty Walid Juma....ila bahati mbaya ni mgonjwa kwa sasa na Mara nyingi yupo in and out Apollo......wengi walitegemea kuwa Baada ya kuwa Amekuwa mgonjwa hii Nafasi ingetangazwa.

Ninavyosikia mimi Bashir Awale sio mtanzania sema amekaa sana hapa bongo hadi ameshazoea, pengine amesha process uraia sina hakika.
 
[QUOTE;4680146]Huyu unamjuwaa?

Professionally and career wise this Rished Bade appears to be the most unstable individual. Amekuwa na a very unstable career kwa vile in less the 18 years since finishing his BComm in UDSM in 1995 he has worked in 10 positions in 8 different organizations. In other words less than 2 years in each organization. You cannot entrust senior responsibilities to such a CAREER HOPPER! Tanzanians let us be careful - there must be something wrong with this guy - he seems to be running away from something!

Bankers wengi wapo hivyo bro especially siku hizi kwenye zama za ushindani.
 
Rished Bade Ni Mtabe..aliacha historia pale Faculty of Commerce and Management kwa sasa University of Dar Es Salaam Business School (UDBS). Kiufupi ni mtu makini na mchapakazi sana nadhani hapa JK amepata Jembe Tena Jembe La Ukweli...Let Us Give The Young Man Opportunity to show his capabilities....the end should always justify the means.
 
Mkuu kama vitu vingine hujui ni bora kuwa msomaji ujifunze kuliko kuandika porojo za mataani, matatizo ya Barclays benki yameletwa na Mkurugenzi Bob Diamond kutokana na ulaghai w riba, ambao uligunduliwa na Benki kuu ya Uingereza kupitia kwa gavana Mervyn King.

JF sio sehemu ya porojo mkuu kuna Great Thinkers humu, unataka kumchafua bure mtoto wa Kinondoni Rished Mohamed Bade.

Ehee. Ulaghai wa Riba unauhusiano gani na vile viosk vya bacrays mkuu? Haujui kama viosk kumi hapa Dar vinafungwa au hata vimeishafungwa? Kuwa Great Thinker hakuishii kwenye upatikanaji wa fact tu bali kuzichanganua facts husika. Hauwezi kutenganisha poor performance ya viosk na Rished. kama unaweza naomba unisaidie.
 
Baada ya matatizo makubwa ya mikopo pale Barclays na mlolongo wa ma fraud ilibidi ile benki ifanye maamuzi magumu ikiwa ni pamoja na kubadilisha uongozi. Sasa walichofanya kwanza kumuweka pembeni Bade wakampeleka Nairobi kwenye position kubwa tu kama lakini wengi waliona hii kama demotion. Nadhani Bade hakufurahia sana kukaa kule Nairobi ingawa ilikuwa kazi ya juu pia. Ilivyoanza hii Mortgage ndio akaingia akaachana na Barclays.

Matatizo makubwa ya Benki hii pia yalichangiwa na HR department kwa kuajiri watu bila kufanya background checks . Mwishowe wakaondoa HR mbongo wakaleta Mkenya,yeye ndio akaanza zoezi la screening ambapo watu wengi wenye vyeti magumashi na historia mbaya walitemeshwa. Ikabainika kwamba wengi walikuwa wameharibu huko walipotoka kwenye mabenki mengine na waliingia Barclays , tatizo kubwa ni HR mwenyewe hakufanya ufuatiliaji kutokana na speed ya expansion nadhani hawakuweza kutuma barua na kumfuatilia kila mtu ilibidi waajiri tu fasta fasta.

Tatizo lingine likaja ma Direct Sales Agents (DSA's) hawa walikuwa na kazi ya kutafuta wateja lakini walikuwa sio kama waajiriwa rasmi maana walilipwa commission. Sasa hawa nao walichangia kiasi kikubwa kuingiza accounts hewa na mikopo hea maana focus yao ilikuwa kwenye targets tu walizowekewa wapate hizo kamisheni zao. Hawa ndio walishiriakiana kwa karibu na hao wenye kampuni hewa kutoa mikopo hewa mwisho wa siku wakifuata pale ofisini wanakuta ni Kiosk kinauza soda!

It is unfortunate kwamba mapungufu yote uliyoyataja hapa ni business of the CEO.
 
Rished Bade Ni Mtabe..aliacha historia pale Faculty of Commerce and Management kwa sasa University of Dar Es Salaam Business School (UDBS). Kiufupi ni mtu makini na mchapakazi sana nadhani hapa JK amepata Jembe Tena Jembe La Ukweli...Let Us Give The Young Man Opportunity to show his capabilities....the end should always justify the means.
mkuu hapo kwenye red kuwa makini kidogo. Hayo mambo ya 'Machiavellian' ndiyo watu wanaongea hapa jukwaani kuwa yameshishindwa kufanya kazi kwa mbongo, kubali au kataa. Madr kibao wameambulia kufanya mambo ambayo hata std VII hawezi kuyafanya. Na ndio maana wanasema kuwa profile ya mtu, CV nk vyote output yake inategemea intention ya mteuaji, hence no wonder the end will 'unjustify' the mean!!. Na ndio maana wenye nia njema wanauliza "ni kwa nini hizi nafasi zisiwekwe wazi na vigezo vyake ile wanaoona wanafaa wazishindanie?"

Kiutendaji alipokuwa Barclays Bank alitaka kufanya Rapid Expansion ya Bank hiyo Tanzania kwa bahati mbaya sana mpango wake ulikumbwa na wizi mkubwa sana. Si unakumbuka kipindi cha wafanyakazi wa benki kuipiga barclays Bank. Yaani kulikuwa na fraud sana ambazo zilifanywa na wafanyakazi wa chini. Kwaiyo yeye anaweza kulaumiwa kwa kushindwa kuweka strict control mechanism za kufanya benki isiibiwe sana kwa kiasi kile,otherwise anajitahidi. Lakini wapo wengi wazuri ambao wangeweza kushika nafasi hiyo si mnajua tena mambo ya nchi hizi nani anakujua matters zaidi kuliko uwezo ulionao.Ilitakiwa nafasi hii itangazwe kwa watanzania wote na watu waombe kisha interview ifanyike mwenye uwezo apate. Nchini Uganda katika URA nafasi huwa zinatangazwa na watu wanaomba interview inafanyika kisha aliyeshinda anatangazwa na Board Ya URA kama mshindi. Na nafasi kama hizi kwa UGANDA ni za Mkataba kwa maana ukishindwa ku perform unaondolewa. Kwa mtazamo wangu huyu mtu anauzoefu zaidi wa mambo ya mabenki kwaiyo angeweza kufaa zaidi BOT. kWA TRA itabidi ajifunze zaidi kwani issue hapa siyo mortgage finance au banking business bali ni Collections ya Taxes.

umewasoma vizuri wenzio huko juu? Umeona dots za bade, idrissa na kimei relative to epa, richmond na dowans? Tafakari tena
 
Sasa mkuu mbona unachekesha, wameanzia kwenye career, sasa unategemea waseme na vidudu, madrasa pia. CV si ina sehemu kuu 3/4 na career ni sehemu mojawapo tu ambayo mwandishi kaamua kuitumia.

Details are important for the vetting process. Kumbuka hii ni kazi nyeti ambayo tunahitaji kujua undani wa mtu mpaka alikosoma chekechea. Kama ni Mtanzania wa cheti au wa kuzaliwa, n.k
 
Rished-Bade.jpg

Mr. Rished Bade
Rished started his career in banking in 1995 with Bank of Tanzania as Bank Examiner where he worked for five years. He then joined Akiba Commercial Bank (ACB) in June 2000 as a Credit Manager. A year later, he joined the Barclays Bank as Director of Finance at Barclays Bank Tanzania, a position he held for five years before moving to Barclays Bank Uganda. At Barclays Bank Uganda, Rished was the Chief Operating Officer for 2 years before he was appointed Country Managing Director for Barclays Bank Tanzania in January 2007. In December 2009 he was appointed Group Chief Finance Officer for Barclays East and West Africa Cluster stationed in Nairobi Kenya, the position he held until he joined Tanzania Mortgage Refinance Company in November 2010

Huyu jamaa tulipiga naye buku pale Mazengo Dom enzi hizo, kwenye economics alikuwa nouma. Ila alikuwa anapiga fegi enzi zile sijui kaacha?

HONGERA SANA, ninamtakia kazi njema-Tusitumie lugha chafu za kifisadi eti "kaula" HAPANA achape mzigo kwa ajili ya Taifa!
 
Mtake radhi Walid Juma. Ninavyofahamu mimi Walid ni mwanaume sasa huyo mama unayemkubali wewe ni yupi?

niwie Radhi ndugu yangu ni makosa nilifana:Naomba samahani kwake kwa familia yake pamoja na wanajamvi Humu ndani kufanya makosa ya kiandishi natambua umuhimu wake katika ujenzi wa taifa letu.
 
niwie Radhi ndugu yangu ni makosa nilifana:Naomba samahani kwake kwa familia yake pamoja na wanajamvi Humu ndani kufanya makosa ya kiandishi natambua umuhimu wake katika ujenzi wa taifa letu.

Nina imani Ndugu Walid Juma amekusikia kama anatembelea humu JF.
 
Back
Top Bottom