It seems this Gentleman is going to replace H. Kitilya @ TRA ?
Katiba mbovu mbovu imemfanya JK (na waliomtangulia pia) kuwa autocratic ruler who assumes sole and absolute power to do anything at his will without questioning. Angalau kungekuwa na ka'mechanism' kupitia wawakilishi wetu bungeni ka kupitia teuzi kama hizi
Mkuu umeona mballi!!Huu mpango unaosukwa huu.... mh!
Ana CV nzuri ya banking & Finance, nafikiri ni mtu mzuri anaejua kutumia human resources zake ndio maana anaonekana amekuwa na achievement katika sehemu nyingi alizopita, binafsi namtakia kila la kheri katika kazi yake hiyo mpya.
Akina Walid Juma vipi hadi achukuliwe Rished?
Rished ni kichwa kwa kweli namkumbuka alikuwepo UDSM miaka ileee ya katikati ya 1990. Akawa BOT kisha nadhani akaenda Backlays sijui Uganda ama Kenya. Akarudishwa kuwa CEO wa Backlays Tanzania; akaingia na mpango wake wa expansion akapeleka matawi hadi Mbagala na maeneo lukuki matawi yakawa kama viosk vya kuuzia fedha akiwa ana target wateja wadogo wadogo!! Akakumbana na vijana wa mujini wanaoishi kimujini mujini wakampiga nusura bank ifilisike! Akaamua kurudi BOT na kuwa mkuu wa hiyo kampuni ya mortgage Finance ambayo ni kampuni tanzu ya BOT.
Kila la Kheri huko TRA