Risasi yangu ya mwisho

Kkwanini umesema ni risasi yako ya mwisho?
 
Kkwanini umesema ni risasi yako ya mwisho?
Kwa sababu zilitumika njia(risasi) kadhaa kutatua tatizo lakini hazikufanikiwa ila njia(risasi) ya kwenda kumchana ustadhi ana kwa ana ndiyo ilifanikiwa, niliwaza katika haya nikaona no.3 inavutia zaidi.
1. Njia yangu ya mwisho.
2. Chaguo langu la mwisho.
3. Risasi yangu ya mwisho.


unaweza kushauri jambo pia kwa faida yangu hasa kuhusu uandishi.
 
Ok nimeelewa, huyo jamaa wa kwenye avatar yako huwa ananichekeshaga sana tambo zake
 
Tajiri Sina BAYA tutengeneze historia ya ndoa iliyofungwa JF na kuhudhuriwa na member
Woooow hiyo ni nzuri haswa, hapo mimi Tajiri Sina BAYA na Binti Sayuni tutaweka history ambayo itadumu vizazi na vizazi humu JamiiAfrka, natamani binti sayuni akubali hili.

Itapendeza mno hapa tutaita Madre na mashehe, ndugu wa pande zote mbili, (mimi anko wangu ni Shimba ya Buyenze, ndugu zangu wengine ndiyo nyinyi akina Harmful dosho12 secretarybird na wengine wengi, Mc atakuwa makutupora, makungwi wakina bi Faizafoxy, wapishi wataongoza na mwachiluwi.

Binti Sayuni mrembo weka mizaha yote pembeni mimi nafungua uzi kuitangaza hii ndoa vipi jina lako bibi harusi nilitaje ama ibaki ni Surprise kwa members?
Na vipi kuhusu tarehe?
 
Hii ni maajabu 😁😁😁
 
Dah! Safi, natamani nifungue uzi wa kuitangaza hii ndoa hata sasa hivi lakini naona nitakuwa bizi kwenye kukiandika kisa cha shangazi, kwakuwa hakirakuwa kirefu nikimaliza nitafungua huo uzi.
Huyu mtoto ameelewa somo....ila haitaji haraka kiongozi mlete mshangazi kwanza mengine yafate au dosho12 unasemaje
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…