CCM Kuwaelewa ni ngumu sana
Madereva wengi wako Dar bwashee!Kwann Dar na sio Dodoma??
Ulitaka wavae nini Mkuu,
Mkuu kwani corona bado ipo?Ni jambo jema!
Magari yaliyo mengi yanayoenda nchi za jirani yanaanzia Dar kwa kuwa bandari ndo ipo hapo. Pia hata magari yanayoanzia mikoa tofauti na dar itawalazimu madereva waende kupata vipimo dar kisha waendelee na safari.Kwanini Dar na sio Dodoma?
Ukiona barakoa ujue bado ipo bwashee!mkuu kwani corona bado ipo ?
Maabara wamejengewa madereva?Magari yaliyo mengi yanayoenda nchi za jirani yanaanzia dar kwa kuwa bandari ndo ipo hapo.
Pia hata magari yanayoanzia mikoa tofauti na dar itawalazimu madereva waende kupata vipimo dar kisha waendelee na safari.
Sent using Jamii Forums mobile app
hapana imejengwa kuchukua vipimo vya covid 19.Maabara wamejengewa madereva?