Ripoti ya PAC yaibwa Bungeni mpaka ya CAG iliyoko Dar!

Ripoti ya PAC yaibwa Bungeni mpaka ya CAG iliyoko Dar!

Inamana wamedelete hadi soft copies? Hapana hii haiwezekani katika dunia ya sasa ya Sayansi na Teknolojia.
 
Ni muhimu ukatuwekea na reliable source of your info Yericko, maana tumezoea issues kuanzishwa hapa na kuleta hofu na mwishowe huwa ni hofu ya jambo lisiloweza thibitika. Sina maana ya kubisha unachokisema, ila ni vema kujiridhisha pasipo na shaka. Otherwise tunaweza ichukulia kama simulizi ya kuwepo 'mtu wa manyoya pale salenda darajani'.

Nawasilisha
 
Kijana unafaa uvalishwe pedi. Hamna wa kuuzima moto huu
 
Cjapata kuona mtu mzushi ka huyu jamaa.nafikiri ukamuombe msamaha hayati kwa kutumia jina lake
 
Chezea Pinda wewe! Kweli Mtoto wa mkulima anayetaka Urahisi 2015! Alizaliwa na kukulia Tizz, so kuiba nyaraka kazi ndogo kwake!
 
Yericko Nyerere hiyo kitu ni ngumu kuamini.

Kazi hii imefanywa kwa uangalifu mkubwa, ukisema leo report imeibiwa hakuna anayeweza kuelewa kirahisi hivi.

CAG bado naamini aliyecompile hiyo report atakuwa na copy kwa laptop/ device yake zaidi uhifadhi wa sasa wa doc si kizembe that way clouds storage zipo kila kona tena bure hadi 10GB.

HAIVUMILIKI HALI HII.
 
Last edited by a moderator:
Sidhani kama hii habari ni kweli!
 
Hii ni hatari sana kama jambo lenyewe lilivyo hatari-mafisadi wa ccm wana nguvu sana huku wakisaidiwa na baadhi ya watendaji wa TIS S wasio waaminifu katika kazi zao.

Nnayakumbuka sana maneno ya Pasco wa jamiiforums katika mchakato wa kupata katiba mpya

"kura za kupata theluthi mbili kwa upande wa Zanzibar zisipotosha zitatoshelezeshwa"
 
Mkuu yeriko umri wako hauendani na mambo haya. Leo Kutwa nzima unazusha mambo...hivi una taka nini? Stunt?

Ulishawahi kuzusha sheikh Ponda kauwawa Morogoro, unazusha mwana sheria wa Zanzibar aliyetimuliwa na shein kaokotwa ameuwawa....hukuishia hapo...

Hivi tatizo Lako Hua ni nini? Tutakuamini vipi kama una sema kweli au uongo?


Ukiweka mlinganisho wa Taarifa zake ;

Za kweli


VS


Za uongo kama unavyodai


Utapata jibu kama aaminiwe au lah!

 
Ripoti ya PAC haijaibiwa na kwa hatua ilipo sasa ni vigumu kuiiba!

Kinachotokea sasa Dodoma ni kuwa ripoti hiyo inajadiliwa chini ya ulinzi mkali!
Wamejifungia kweli kweli na kuna tetesi kuwa ripoti hiyo imevuja. Tayari wabunge machachari wanayo na huenda kesho tukaiweka humu kama mambo yataenda sawa!
 
Wakuu hali ya taharuki imeibuka baada ya ccm kuiba kwakunyofoa kurasa zenye ushahidi wote wa wizi na majina ya wezi wote,

Kurasa za 56,57,59... Zote zimenyofolewa, kibaya zaidi wezi hawa wameiba kuanzia iliyopo Bunge kwa Kashilila, Kwa ofisi ya PAC, na ile ya CAG huko Dar,

Hali sasa inayoendelea nikuwa ripoti iliyobaki isiyo na ushahidi wala makali wezi hawa wamewagawia wabunge wa CcM na wananchi mtaani ili nakuwaambia wajionee wenyewe ripoti haina mtu wakuwajibika.

Hii ndio ccm na makandokando yake chini ya TISS.

Wananchi chukueni hatua za dharura!!!

YN mbona working papers zipo? Hilo halina shida.Ina maana akina Zitto hawakufanya copies? Na sofy copy ya PAC hawakuwa nayo.Zitto hana soft copy? Mbona hatutawaelewa hawa Kamati ya PAC.Deo Filikunjombe atuambie copy zao ziko wapi?
 
mods ondoeni huu uzi ni uongo mtupu the issue is so sensitive kisha nyaraka iibiwe kirahisi ht ukitumia makalio yk kufkir haiingii akilin
cc MODERATORS
 
tuwekee hiyo wanayogawiwa hao wabunge was ccm hapa jamvini. kama habari hiyo no kweli taifa limefika pabaya.
 
Back
Top Bottom