FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,819
Ha ha ha bi mkubwa umeona taarifa ya habari kweli?
Ripoti ya CAG aulizwe Zitto aliyekabidhiwa. Akitaka nakala amwambie CAG atampa nyingine.
Ha ha ha bi mkubwa umeona taarifa ya habari kweli?
Yericko kaona ripoti kama mimi, ripoti iliyo mtaani kwasasa ni tofauti na mazwazwa wengi walivyokuwa wakitokwa povu, ripoti nyeupe. hakuna aliyewajibishwa wala mtuhumiwa kwenye ripoti. Na hii kitu tumekuwa tukifafanua muda wote ila kwa ushabiki mkaamua kulibebea bango swala ambalo kimsingi hamkuwa na taarifa sahihi nalo. Mtoa hoja kachungulia ripoti rasmi na kaona inamuumbua, kaamua kuwasingizia CCM kuwa wamenyofoa karatasi, hili haliingii akilini kwa mtu mzima yeyeto. Hizi ni zama za kidigitari, Yericko hakuwa na fikra timamu wakati akiandika huu udaku, kwa kifupi alikuwa amepanic akakosa ujuzi wa kuipinda habari yake.
![]()
Mungu akijaaliya usiku huu ripoti itavuja humu mjionee na nyinyi wanajamvi, na kitakachofuata ni kelele za uchakachuaji wa ripoti hilo nalo nilitabiri.
Redio One Breaking news: ripoti ya ESCROW imepatikana ikisambazwa mitaani dodoma huku kurasa tatu za mwisho zenye maazimio zikiwa zimenyofolewa. watu kadhaa wanashikiliwa kwa sakata hili.
taarifa ya habari ITV saa 2 kamili imeripoti habari hii!
mods mmelala sana doro issue za uongo
wanataka waicheleweshe tu maana kukiwa na watu wakiwa mahakamani sijui kama riport itajadiliwa.. hizo ni baadhi ya janjajanja za kukwamisha mchakatoRedio One Breaking news: ripoti ya ESCROW imepatikana ikisambazwa mitaani dodoma huku kurasa tatu za mwisho zenye maazimio zikiwa zimenyofolewa. watu kadhaa wanashikiliwa kwa sakata hili.
Wakuu hali ya taharuki imeibuka baada ya ccm kuiba kwakunyofoa kurasa zenye ushahidi wote wa wizi na majina ya wezi wote,
Kurasa za 56,57,59... Zote zimenyofolewa, kibaya zaidi wezi hawa wameiba kuanzia iliyopo Bunge kwa Kashilila, Kwa ofisi ya PAC, na ile ya CAG huko Dar,
Hali sasa inayoendelea nikuwa ripoti iliyobaki isiyo na ushahidi wala makali wezi hawa wamewagawia wabunge wa CcM na wananchi mtaani ili nakuwaambia wajionee wenyewe ripoti haina mtu wakuwajibika.
Hii ndio ccm na makandokando yake chini ya TISS.
Wananchi chukueni hatua za dharura!!!
Nadhani kelele zimekua too much wameamua kuivujisha kukata ngebe.du hiyo kali
NAOMBA NIULIZE MWENYE MAMLAKA YA KUWAPA WABUNGE HIYO RIPORT NI NANI?
KAMA NI KATIBU WA BUNGE BASI WASUBIRI WATAPEWA HIYO J3 WAACHANE NA HIZO ZA MITAANI
Hivi na Zitto nae kaibiwa ile Report aliyokabidhiwa kwa Mbembwe siku ile? Duh!! hapa hakuna aliyeibiwa wala kuiba kinachofanyika hapa na tukiunganisha DOT's kauli ya Zitto juzi pale ndani ya bunge kauli ambayo ilionekana kukubaliwa na Werema kwa ishara ya kichwa ni dhahiri CAG, PAC,CCM na vyombo vya usalama vya nchi vinataka kutupotosha wananchi na sakata hili ili waendelee kulinda hayo mafisadi na hasa kuilinda Ikulu na Pinda ambao kwa sakata hili wanawajibika moja kwa moja.