Ripoti ya PAC yaibwa Bungeni mpaka ya CAG iliyoko Dar!

Ripoti ya PAC yaibwa Bungeni mpaka ya CAG iliyoko Dar!

heeeeeeheee.. wameiba hard copy alafu ikawaje? hivi karne hii kuna mtu ananyofoa hard copy kuficha ushahidi???
na ikatokea PAC wakashindwa kutupa report kamili nao wawajibishwe..
 
"sasa ndiyo muda mwafaka kuitoka ile jf tuliyonayo"

Yaani wengine tunaisubiri ile mbaya.Maana kile kipande kidogo tu kinafanya watu wanakata roho taratibi.
 
Wakuu hali ya taharuki imeibuka baada ya ccm kuiba kwakunyofoa kurasa zenye ushahidi wote wa wizi na majina ya wezi wote,

Kurasa za 56,57,59... Zote zimenyofolewa, kibaya zaidi wezi hawa wameiba kuanzia iliyopo Bunge kwa Kashilila, Kwa ofisi ya PAC, na ile ya CAG huko Dar,

Hali sasa inayoendelea nikuwa ripoti iliyobaki isiyo na ushahidi wala makali wezi hawa wamewagawia wabunge wa CcM na wananchi mtaani ili nakuwaambia wajionee wenyewe ripoti haina mtu wakuwajibika.

Hii ndio ccm na makandokando yake chini ya TISS.

Wananchi chukueni hatua za dharura!!!

Prove kama zimeibiwa na ccm
 
Wewe toa ujinga wako humu, wakati tunaimba siku zote simlikuwa mnatuona sisi machizi,mjinga wewe tulisema sisi hakuna wizi kwenye account ya escrow na ikaandikwa kwenye gazeti la Mtanzania jumapili Nov 16/2014 " RIPOTI NYEUPE" Mkaendelea kujifariji, labda tuwakumbushe;

View attachment 204728
 
Hata chizi hawezi kuamini habari kama hii.

Acha utoto kijana humu tumo wenye akili timamu.eboooo
 
Mkuu yeriko umri wako hauendani na mambo haya. Leo Kutwa nzima unazusha mambo...hivi una taka nini? Stunt?

Ulishawahi kuzusha sheikh Ponda kauwawa Morogoro, unazusha mwana sheria wa Zanzibar aliyetimuliwa na shein kaokotwa ameuwawa....hukuishia hapo...

Hivi tatizo Lako Hua ni nini? Tutakuamini vipi kama una sema kweli au uongo?
Akidhurika tutakutafuta wewe its easy kukupata ok
 
Hawa wash*nz c.c.m wanataka tumwagane damu ndio wajue tumekasirika??. Niko msalani mara ghafla nafungua jf nakutana na hii thread, hata hamu imeisha nimeamua kuvaa tu!. Escrow!!!???***
 
Hiyo haitoshi Mhe. Zitto akwishaliliarifu Bunge kuwa kamati yake iko tayari kuwasilisha taarifa ,kwa maana hiyo hata kama wameiba baadhi ya Kurasa za Taarifa hiyo, bado Kamati ya PAC inaweza kuwasilisha muhtasari wa walichokijadili na kuisoma na hiyo inatosha kuiwezesha Bunge kufanya Maamuzi na ikilazimu Kutoa Hoja ya Kuundwa kwa Kamati Teule ya BUNGE ambayo itafanya Kazi yake tena Kisheria zaidi ikiwa na nguvu kama ya Kimahakama.

Sioni tatizo hapo ila watakuwa wametuingiza kwenye gharama zingine!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu yeriko umri wako hauendani na mambo haya. Leo Kutwa nzima unazusha mambo...hivi una taka nini? Stunt?

Ulishawahi kuzusha sheikh Ponda kauwawa Morogoro, unazusha mwana sheria wa Zanzibar aliyetimuliwa na shein kaokotwa ameuwawa....hukuishia hapo...

Hivi tatizo Lako Hua ni nini? Tutakuamini vipi kama una sema kweli au uongo?

halaf mod wanamwacha tu....r.u.sh..waa mbaya sana....
 
Mtoa hoja endelea tu kupakaza matope CCM maana ndio kazi yako kama Mwana CHADEMA, na ukiacha kufanya hivyo tutakushangaa. Lakini ripoti nyeupe, endeleeni tu kuchafua watu.

attachment.php
 
Msifanye uzembe bhanaa mshinikizeni CAG atoe ripoti nyingine haraka sana na muache kuiweka hovyo hovyo wakati mnajua fika Maintarahamwe hawalali katika jitihada zao za kuhakikisha ushahidi unapotea. Muwasiliane na CAG usiku huu huu kuhakikisha kesho mnapata copy mpya.
 
Cjapata kuona mtu mzushi ka huyu jamaa.nafikiri ukamuombe msamaha hayati kwa kutumia jina lake

acha ukikojozi we ----- mfia chama cha majizi. Kama huyo ni mzushi si ulete taarifa ya uhakika?? Tatizo huwa hamuwezi kupinga kwa hoja na hii ndi tabu ya wanccm na vijana wao majuha kama wewe,
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ripoti ya PAC haijaibiwa na kwa hatua ilipo sasa ni vigumu kuiiba!

Kinachotokea sasa Dodoma ni kuwa ripoti hiyo inajadiliwa chini ya ulinzi mkali!
Wamejifungia kweli kweli na kuna tetesi kuwa ripoti hiyo imevuja. Tayari wabunge machachari wanayo na huenda kesho tukaiweka humu kama mambo yataenda sawa!

mkuu nakuaminia
 
Haina shida wataprint tena softcopy zipo ila tusije kuambiwa zimeliwa Na virus maana ccm hawana aibu.
 
Huu unaweza usiwe ukweli kabisa maana kinacho wasilishwa bungeni ni muhtasari na kama muhtasari walisha uandaa muda na lazima kuna copy nyingi!

Pamoja na hili swala kuteka hisia zetu lakini tuwe makini na vitu vingine sio kweli kabisa maana hiyo report hata kama wamechomoa kuna copy za kutosha na soft copy lazima zipo!

Kamati ya PAC wako makini sana hili swala haliwezi tokea na isitoshe walishaandaa muhtasari kabisa!

Moderator Cookie si kila habari kuhusu hili tukio ni za kuachwa hapa zingine hazina chembe ya ukweli na zina hitaji uthibitisho!
 
Last edited by a moderator:
Kila la heri Mkuu.

Back
Top Bottom