Ripoti ya PAC yaibwa Bungeni mpaka ya CAG iliyoko Dar!

Ripoti ya PAC yaibwa Bungeni mpaka ya CAG iliyoko Dar!

Hatari,
 

Attachments

  • 1416686789426.jpg
    1416686789426.jpg
    8.4 KB · Views: 441
.....siku ya kufa nyani.......; ni mpumbavu tu anayefikiri sakata hili linaisha kwa kunyofoa pages; mnawalaumu TISS wakati wao ndio mpango mzima, wameshamaliza kazi.

Mzee wa OBEY THE WIND akirudi kwenye matibabu atamaliza kazi kiulaiiiiiini kwa kukubali tu barua zao za kujiuzulu; KWANI RAIS LAZIMA AWE PINDA BANA!!!!!!!!!!!!
 
Eti ukawa wacharuka ripoti kusambazwa mitaani, mbona wao wanatuhumu watu na taasisi mbalimbali bila kusubiri ripoti ya uchunguzi. Na kama pesa ni za wananchi kuna ubaya gani wananchi wakiona hiyo ripoti.

Kikwetu hiyo ID yako Mkuu ilipaswa kuwa Ma.bo.lo!! Yaani kichwa chako ni cha panzi unakalia kuyaburuza chini hayo yenye maana ya ID yako!
 
unaakili kweli wewe?? Kweli vijana wa ccm ni sawa na mavi hata uyapake utuli bado yatanuka tuu! Umesha ambiwa imetolewa kurasa zenye majina ya watuhumiwa unauliza nini tena hapa??? Kukaa kimya nayo huwa ni busara? Kama taarifa ya wizi wa hela ilisha julikana kuwa zimeibiwa sasa kinacho subiriwa hapa ni kujua walio husiska na majina ya walio husika yamechanwa, sasa ina maana gani hata jamii ikiipata bila hayo majina??? Tumia akili mjusi wewe usiwe mtumwa wa mawazo mara zote.vijana wa ccm mnatia kinyaa ptuu!
Tunataka kujua majina na njia zote walizotumia kuiba na ushahidi uwemo,sasa unaposema kila kitu watu wanajua kilivyokua kasoro majina hatukuelewi,mtataja majina na ni jinsi gani watu wamehusika kwa ushahidi.
karatasi tatu za mwisho haziwezi kuwa mhimu kuliko page zingine,sharti mtiririko uendane.
 
Jamani tunaomba serikali iweke ulinzi kwa bwana mengi maana television yake ndio imekuwa television ya taifa tbccm imekufa rasmi. Wananchi wanalazimishwa kuchagua viongozi kwa nguvu? Jama hiki Chama cha ccm vipi? Halafu habari Kama hizi tbccm hawaoneshi.tunaomba bwana mengi apewe ulinzi msije kumpa sumu Kama mlivyitaka kumuua mkono. Wananchi hatuna tena imani Na serikali ya ccm. Jamani kuanzia jumatatu tarehe 24 tukajiandikishe tuanze na serikali za mitaa mwakani tuizike rasmi maccm.

Nyie subirini Mengi apate Vitalu muone atakavyowageuka wapinzani na kuimba sifa za watawala
 
Eti ukawa wacharuka ripoti kusambazwa mitaani, mbona wao wanatuhumu watu na taasisi mbalimbali bila kusubiri ripoti ya uchunguzi. Na kama pesa ni za wananchi kuna ubaya gani wananchi wakiona hiyo ripoti.

Ga ulasi, kweli umekunywa maboso naona id yako inaeleza na pumba zako
 
Jamani document yeyote ya serikali lazima iwe scanned..! Hapa kuna kitu kinaandaliwa
 
Kama Zito hajatokea humu kutoa ufafanuzi basi hili ni deal,ila kwa CAG haiwezi kuibwa kirahisi ivo
 
kwa kweli napata shida sana kuamini mambo haya nakuwa nacheka uchungu, ivi kwa mazingira haya ccm kweli itaweza kukabidhi madaraka kwa wapinzani kama itatokea kushindwa kwenye uchaguzi?
 
Wakiiba, PINDAAAAAA ndio kazidisha hasiraaaaaaaaa sanaaaaa kwa wabunge, ndio itakuwa balaaaaaaa....

Pinda ajiandae KUONDOKA TU....NI DHAHIRI SASA ANACHEZA NA MAISHA YA WATANZANIA.....


J3 ndio mwisho wa PM....naona sasa ndio kavuruga kila kitu....Mtoto wa mkulima kumbe hafai kabisa...!!!
 
Kashililah na makatibu wenzake ni wazembe nao pia wakamatwe. The report should have been kept under lock and key as all other SECRET documents. Wanalipwa kwa kazi hiyo! It seems they are being used by the thieves!!! RPC kamata na hao wakueleze zilitokaje nao walikuwa wapi????????????
 
Back
Top Bottom