Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 31,281
- 31,417
Yote hayo msingi wake ni kutofuata sheria na taratibu tulizojiwekea.............Viongozi kuangalia maslahi binafsi ni by-product ya umaskini. Wadhani tungekuwa matajiri tungepata viongozi hawa?
Nadhani elimu ndiyo ufunguo wa kila kitu....elimu si kwa maana ya mradi kwenda shule...otherwise, viongozi wetu woooooooooooooote wamesoma nje, na wengine Ulaya, ukimtoa ******. Labda kwa sababu hiyo ndiyo maana anaharibu zaidi kuliko wengine!