Hata wakienda shule hakuna watakacho pata huko ndiyo ile watoto wana maliza la saba hawajui hata kuandika majina yao...
Usikute hii picha amepiga yeye mwenyewe mbunge, then anaitumia kwenye proposal zake za miradi ya kusaidia masikini kisha na hizo pesa za misaada anakula vilevile, wanamaana hawa! Hawana mioyo ya kiutu kabisa hawa! Hata hawa wanawake hawana mioyo ya kike tena!
Ni ukweli usiopingika kuna umaskini w akutisha sana kwa Watanzania wengi. Ni jambo la kusikitisha kuona badala ya kujadili issue za maana za kupunguza umaskini wa watanzania mtu anakaa kujadili JF
Watoto kama hawa hawana uhakika wa kula yao ya siku hiyo na hawajui kama watasoma na watasomea shule gani na watarajie nini maishani mwao. Chakula kwao ni mlo mmoja kwa siku. Sabuni ni anasa na hata viatu ni anasa
Hii inasikitisha jamani
utajiri wote tulionao wa mali asili lakini hebu angalia haya mapozi ya hawa vijana wa kilindi kwa mbunge wetu mama Shelukindo,
je hawa wanafaidi hayo matunda ya huyu mama kuwa mbunge?
Hawa vija wanasoma kweli? ama ndio mama kabakia kupiga debe bungeni huku akiingiza mabilioni ya pesa lakini watu wake wakishindwa hata kununua kaniki za kuwashonea watoto wao
http://a8.sphotos.ak.fbcdn.net/hphotos-ak-snc6/190397_115568648518471_100001960098301_122797_6121656_n.jpg
![]()
![]()
![]()
![]()