Ripoti: Uchumi unakua, umasikini unaongezeka

I would beg to differ. Kama ningeambiwa nichague sababu moja ya umasikini wa Tanzania ningesema ni elimu. Na hapa simaanishi ile ya darasani tu.

Elimu yetu ndogo imesababisha yafuatayo:
1. Kutunga sheria mbovu na kubuni mipango mibovu ambayo hayasaidii katika maendeleo ya nchi bali ina hakikisha tu kwamba serikali inaendesheke kwa siku hadi siku

2. Kufanya watu wafuata bendera ambao wapo tayari kupokea propaganda yoyote

3. Kuwapumbaza wananchi kuona kwamba serikali haitakiwi kuhojiwa na chochote kinachofanywa na serikali ni sawa

4. Kuwafanya baadhi ya watu wawe tayari kutetea upumbavu na kasoro za baadhi ya viongozi wetu kisa ni dini moja au kabila moja.

5. Sababu nyingi ambazo siwezi kuorodhesha zote.

Wewe jiulize tu mkuu watu watafuataje sheria ambazo wao wenyewe hawazijui? Uelewa wa sheria unatokana na nini?
 
Watu hutaja sababu mbalimbali za umaskini ambazo nyingi huwa ni propaganda tu. Mimi nimejiridhisha kwamba sababu ya umaskni katika jamii/nchi yeyote ile Duniani ni:-
1. JAMII HUSIKA KUTOFUATA SHERIA ZILIZOPO.

Hakuna sababu nyingine zaidi ya hiyo!!!

Naomba utuambie jinsi sheria zifuatazo zitakavyoondoa umaskini wa jamii husika zikifuatwa (na in fact zinafuatwa hadi sasa):

  • Sheria ya mirahaba (3%) ya madini
  • Sheria ya misamaha ya kodi kwa wageni - Watanzania wanaofanya biashara ya namna hiyo hiyo wakitakiwa na sheria kulipa
  • Sheria inayomkataza mtu kutoa habari (bila kibali cha serikali) hata kama habari yenyewe inahusisha wizi/ufisadi
 
All the countries that have developed had one thing that is currently lacking in Tanzania and that is VISIONARY LEADERSHIP!! Ukiwa na kiongozi mwenye vision utajenga shule za kuwaelimisha wananchi; utajenga zahanati ; utajenga barabara vyote hivyo kwa kutumia rasilimali za nchi yenu mlizotunukiwa na Mwenyezi!!
 
Nakubaliana nawe, Watz tumezoea kutofuata sheria zilizopo; mfano hai viongozi wa CDM kwa sababu wanazozijua wao kwa makusudi wamekwepa kulipa kodi katika mamlaka za kiserikali. Kutolipa kodi ni kudhoofisha jitihada za serikali iliyopo madarakani kuwatumia raia wake.
Sawa, na je kusafiri sana nje ya nchi kwa viongozi na masemina elekezi badala ya kuajili walimu, manesi, madaktari, kununua madawati, madawa ni kuwatumikia raia wake?
 
Nakubaliana nawe, Watz tumezoea kutofuata sheria zilizopo; mfano hai viongozi wa CDM kwa sababu wanazozijua wao kwa makusudi wamekwepa kulipa kodi katika mamlaka za kiserikali. Kutolipa kodi ni kudhoofisha jitihada za serikali iliyopo madarakani kuwatumia raia wake.

Una ushahidi? Ulete tuwafikishe mahakamani
 
I would beg to differ. Kama ningeambiwa nichague sababu moja ya umasikini wa Tanzania ningesema ni elimu. Na hapa simaanishi ile ya darasani tu.

Elimu yetu ndogo imesababisha yafuatayo:
1. Kutunga sheria mbovu na kubuni mipango mibovu ambayo hayasaidii katika maendeleo ya nchi bali ina hakikisha tu kwamba serikali inaendesheke kwa siku hadi siku. Hii inatokana na jamii kutoshiriki kutunga sheria wanazotakiwa kuzifuata. Vivyo hivyo kwenye mipango.

2. Kufanya watu wafuata bendera ambao wapo tayari kupokea propaganda yoyote. Wanapokea propaganda kwa sababu hawafuati sheria kwa hiyo mwenye mvuto wa kuwasilisha hoja zake ndiye hufuatwa na mwenye hoja za msingi huachwa kwa kuwa tu hana mvuto.

3. Kuwapumbaza wananchi kuona kwamba serikali haitakiwi kuhojiwa na chochote kinachofanywa na serikali ni sawa. Hali hii ipo hivyo kwa sababu watu/jamii haikushiriki kutunga hizo sheria kwa hiyo haizifuati badala yake inafuata kinachoagizwa na anayezisimamia bila kujali kama anazisimamia kwa usahihi au la!!

4. Kuwafanya baadhi ya watu wawe tayari kutetea upumbavu na kasoro za baadhi ya viongozi wetu kisa ni dini moja au kabila moja. Hapa ni sawa na hoja yako ya pili!!!

5. Sababu nyingi ambazo siwezi kuorodhesha zote. Hizo sababu nyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiingi/zoooooote zitaingia kwenye kutofuata sheria. Jaribu tu kuchunguza tatizo moja baada ya jingine, you will end up with missing rule of the law!

Wewe jiulize tu mkuu watu watafuataje sheria ambazo wao wenyewe hawazijui? Uelewa wa sheria unatokana na nini?

Kwenye nyenkundu ni hoja zinazohalalisha uwepo wa hali ya kutofuata sheria katika hoja zako!!
 
All the countries that have developed had one thing that is currently lacking in Tanzania and that is VISIONARY LEADERSHIP!! Ukiwa na kiongozi mwenye vision utajenga shule za kuwaelimisha wananchi; utajenga zahanati ; utajenga barabara vyote hivyo kwa kutumia rasilimali za nchi yenu mlizotunukiwa na Mwenyezi!!

*Huwezi kupata watu wenye vision kama hakuna taratibu sahihi za kuwatambua/identify!!
*Taratibu sahihi ni zile zenye kuhusisha mijadara huru
*Mijadala huru ni ile inayoihusisha jamii husika.
VISION HAS TO BE GUIDED BY RULES!!
 
Rules that guide a country's vision are made by leaders who have a vision of how they want their country to develop; [ road map]; it is also the same type of leaders who allow/guide free debate of development initiatives in their societies.
 
Mwl Nyerere alisema "ili nchi iendelee inahitaji vitu vinne, 1. Ardhi, @. Watu, 3. Siasa safi na 4.Uongozi bora. Hii ilikuwa tneory ya Mwalimu. Mie nakubaliana nae. (kama unaipinga ni haki yako lakini uwe na mashiko kwenye hoja). Sasa sisi kama nchi Ardhi, na Watu siyo tatizo, so matatizo ya UMASKINI wa wa tanzania na nchi yetu ni Viongozi wabovu na sera za ccm ni mbovu hayo ndiyo matatizo ya Umaskini wa nchi hii. Ukiunganisha ili upate sababu moja ni CCM
 
would you agree with me if I say this:-
A Leader of a certain society/community reflects the majority's opinion!
and that; if a Leader does not reflect the mojority's opinion, he then wont survive their pressure.
Thats why its no other way around that a society will develop if the rule of law wont Govern it.
 
Mwl Nyerere alisema "ili nchi iendelee inahitaji vitu vinne, 1. Ardhi, @. Watu, 3. Siasa safi na 4.Uongozi bora. Hii ilikuwa tneory ya Mwalimu. Mie nakubaliana nae. (kama unaipinga ni haki yako lakini uwe na mashiko kwenye hoja). Sasa sisi kama nchi Ardhi, na Watu siyo tatizo, so matatizo ya UMASKINI wa wa tanzania na nchi yetu ni Viongozi wabovu na sera za ccm ni mbovu hayo ndiyo matatizo ya Umaskini wa nchi hii. Ukiunganisha ili upate sababu moja ni CCM

Huenda unaona hoja yangu haina mashiko:-
ungetaka kupata mashiko, ungedadisi kwanza swali hili " kwa nini watu fulani wasifuate sheria?"
Ukishapata jibu la hilo swali utagundua kwamba yooote hayo ulosema na mengine mengi nje ya hayo yanatokana na watu kutofuata sheria.
just think about it very careful and you will see my point.
REMEMBER THIS IS A GREAT THINKER'S FORUM, Therefore It wouldn't be fair if I give you details!
 
CCM ndio kiongozi ktk suala la ukwepaji wa kodi. 95% za bidhaa zilizoletwa kwa ajili ya chaguzi mkuu uliopita hazikulipiwa kodi,
 
there's CAUSE & EFFECT relationship, so needs careful generalization.

* The cause is Authority does not involve the community/society during preparing and passing the Law.
* The effects are:
-The Law systems are Weak
-The Community/society does not abide to the Laws
 
Viongozi kuangalia maslahi binafsi ni by-product ya umaskini. Wadhani tungekuwa matajiri tungepata viongozi hawa?
Nadhani elimu ndiyo ufunguo wa kila kitu....elimu si kwa maana ya mradi kwenda shule...otherwise, viongozi wetu woooooooooooooote wamesoma nje, na wengine Ulaya, ukimtoa ******. Labda kwa sababu hiyo ndiyo maana anaharibu zaidi kuliko wengine!
 
Watu hutaja sababu mbalimbali za umaskini ambazo nyingi huwa ni propaganda tu. Mimi nimejiridhisha kwamba sababu ya umaskni katika jamii/nchi yeyote ile Duniani ni:-
1. JAMII HUSIKA KUTOFUATA SHERIA ZILIZOPO.

Hakuna sababu nyingine zaidi ya hiyo!!!

Naomba kutofautiana na wewe moja kwa moja

Si kweli sababu ya umaskini wetu ni kutofuata sheria
Sheria zipi unazungumzia ambazo hazifuatutwi na watu wetu
Kwani Mkulima wa kule shinyanga au mchimba madini wa kule mtwara ni sheria ipi ameivunja wakati anapofanya kazi yake ya kujitafutia riziki
Na je hiyo sheria aliyoivunja ndio imemletea umaskini wake
naamini sababu moja tuu ni kwa nini sisi ni maskini ni ukosefu wa "VISION" kwa kviongozi wetu na hatuna hata kipaumbele cha nini kifanyike na rasilimali tulizo nazo zitumikeje na zimfaidisheje mwananchi wa kawaida
kusema kuwa wananchi hawafuati sheria na ndio maana ni maskini kwa kweli hilo sikubaliani nalo
 
Back
Top Bottom