Watu hutaja sababu mbalimbali za umaskini ambazo nyingi huwa ni propaganda tu. Mimi nimejiridhisha kwamba sababu ya umaskni katika jamii/nchi yeyote ile Duniani ni:-
1. JAMII HUSIKA KUTOFUATA SHERIA ZILIZOPO.
Hakuna sababu nyingine zaidi ya hiyo!!!
Kwa nini hawafuati sheria zilizopo?
Sawa, na je kusafiri sana nje ya nchi kwa viongozi na masemina elekezi badala ya kuajili walimu, manesi, madaktari, kununua madawati, madawa ni kuwatumikia raia wake?Nakubaliana nawe, Watz tumezoea kutofuata sheria zilizopo; mfano hai viongozi wa CDM kwa sababu wanazozijua wao kwa makusudi wamekwepa kulipa kodi katika mamlaka za kiserikali. Kutolipa kodi ni kudhoofisha jitihada za serikali iliyopo madarakani kuwatumia raia wake.
Nakubaliana nawe, Watz tumezoea kutofuata sheria zilizopo; mfano hai viongozi wa CDM kwa sababu wanazozijua wao kwa makusudi wamekwepa kulipa kodi katika mamlaka za kiserikali. Kutolipa kodi ni kudhoofisha jitihada za serikali iliyopo madarakani kuwatumia raia wake.
I would beg to differ. Kama ningeambiwa nichague sababu moja ya umasikini wa Tanzania ningesema ni elimu. Na hapa simaanishi ile ya darasani tu.
Elimu yetu ndogo imesababisha yafuatayo:
1. Kutunga sheria mbovu na kubuni mipango mibovu ambayo hayasaidii katika maendeleo ya nchi bali ina hakikisha tu kwamba serikali inaendesheke kwa siku hadi siku. Hii inatokana na jamii kutoshiriki kutunga sheria wanazotakiwa kuzifuata. Vivyo hivyo kwenye mipango.
2. Kufanya watu wafuata bendera ambao wapo tayari kupokea propaganda yoyote. Wanapokea propaganda kwa sababu hawafuati sheria kwa hiyo mwenye mvuto wa kuwasilisha hoja zake ndiye hufuatwa na mwenye hoja za msingi huachwa kwa kuwa tu hana mvuto.
3. Kuwapumbaza wananchi kuona kwamba serikali haitakiwi kuhojiwa na chochote kinachofanywa na serikali ni sawa. Hali hii ipo hivyo kwa sababu watu/jamii haikushiriki kutunga hizo sheria kwa hiyo haizifuati badala yake inafuata kinachoagizwa na anayezisimamia bila kujali kama anazisimamia kwa usahihi au la!!
4. Kuwafanya baadhi ya watu wawe tayari kutetea upumbavu na kasoro za baadhi ya viongozi wetu kisa ni dini moja au kabila moja. Hapa ni sawa na hoja yako ya pili!!!
5. Sababu nyingi ambazo siwezi kuorodhesha zote. Hizo sababu nyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiingi/zoooooote zitaingia kwenye kutofuata sheria. Jaribu tu kuchunguza tatizo moja baada ya jingine, you will end up with missing rule of the law!
Wewe jiulize tu mkuu watu watafuataje sheria ambazo wao wenyewe hawazijui? Uelewa wa sheria unatokana na nini?
All the countries that have developed had one thing that is currently lacking in Tanzania and that is VISIONARY LEADERSHIP!! Ukiwa na kiongozi mwenye vision utajenga shule za kuwaelimisha wananchi; utajenga zahanati ; utajenga barabara vyote hivyo kwa kutumia rasilimali za nchi yenu mlizotunukiwa na Mwenyezi!!
*Huwezi kupata watu wenye vision kama hakuna taratibu sahihi za kuwatambua/identify!!
*Taratibu sahihi ni zile zenye kuhusisha mijadara huru
*Mijadala huru ni ile inayoihusisha jamii husika.
VISION HAS TO BE GUIDED BY RULES!!
Rules that guide a country's vision are made by leaders who have a vision of how they want their country to develop; [ road map]; it is also the same type of leaders who allow/guide free debate of development initiatives in their societies.
Mwl Nyerere alisema "ili nchi iendelee inahitaji vitu vinne, 1. Ardhi, @. Watu, 3. Siasa safi na 4.Uongozi bora. Hii ilikuwa tneory ya Mwalimu. Mie nakubaliana nae. (kama unaipinga ni haki yako lakini uwe na mashiko kwenye hoja). Sasa sisi kama nchi Ardhi, na Watu siyo tatizo, so matatizo ya UMASKINI wa wa tanzania na nchi yetu ni Viongozi wabovu na sera za ccm ni mbovu hayo ndiyo matatizo ya Umaskini wa nchi hii. Ukiunganisha ili upate sababu moja ni CCM
Tatizo lingine ni kwamba viongozi wetu wanaangalia maslahi binafsi zaidi kuliko ya nchi...
there's CAUSE & EFFECT relationship, so needs careful generalization.
Watu hutaja sababu mbalimbali za umaskini ambazo nyingi huwa ni propaganda tu. Mimi nimejiridhisha kwamba sababu ya umaskni katika jamii/nchi yeyote ile Duniani ni:-
1. JAMII HUSIKA KUTOFUATA SHERIA ZILIZOPO.
Hakuna sababu nyingine zaidi ya hiyo!!!