Ringa tena

Ringa tena

Duu uko mabibo ipi kaka ? Mimi ni So Fun hapa

mkuu wewe si uk makutano hapo karibu na kigogo?

unaweza kufika hapa mabibo jeshini nikufundishe jinsi ya kutumia bunduki?

Karibu sana jeshini..
 
mkuu wewe si uk makutano hapo karibu na kigogo?

unaweza kufika hapa mabibo jeshini nikufundishe jinsi ya kutumia bunduki?

Karibu sana jeshini..

Ni karibu na Loyola ? Binduki ninazo mbili unapajua matrix bar?
 
Ni karibu na Loyola ? Binduki ninazo mbili unapajua matrix bar?
hahahaa! kumbe una bunduki eenh? haya bwana...

ni karibu sana na loyola hasa ukiwa unatokea hapo mabibo mwisho, ni mkono wa kulia tu unaingia kambini..

Matrix bar siijui mkuu.. kiasi flan si mnywaji..
 
hahahaa! kumbe una bunduki eenh? haya bwana...

ni karibu sana na loyola hasa ukiwa unatokea hapo mabibo mwisho, ni mkono wa kulia tu unaingia kambini..

Matrix bar siijui mkuu.. kiasi flan si mnywaji..

Nimekusoma next wkend takucheki Leo pumzika na manka hopefully ameshatia timu
 
Mkuu naona iliwahi kukutokea ukakutanana kachoka kitumbo hicho ndio zao wananata sana
 
Yaani nkiwa hivo nazidi kuringa......kuwa mama ni jambo zuri sana na lazma niji proud
 
Shenziiii mademu wa kichaga,wakwenu hauwaoni nziiiiiiiiiiiiiiii shenzyyy

Kichakachuzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom