Ridhiwan Kikwete, Watu Wanakusema Vibaya

Rizi masauni majaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Hivi Ridhwani angekuwa mwanasiasa wa CHADEMA tungesema haya tunayoyasema juu yake? Je Ridhwani hana haki kisheria kuingia kwenye siasa kwa sababu tu baba yake ni mkuu wa nchi?
Ukishakuwa mtoto wa rais kuna tabia unazotakiwa kuwa nazo kwa sababu baba yako ni rais wa nchi, ndiyo maana hata mke wa rais anaitwa first lady na kuna tabia hatakiwi kuwa nazo au at least kuzionyesha wazi wazi.
Kama mtoto wa rais ataonyesha tabia za ajabuajabu na rais akamuunga mkono eti kwa sababu tu ni mtoto wake basi kasoro hizo zinaenea hadi kwa rais mwenyewe.
 
Wana jamii, mimi binafsi simjui saaaana huyu jamaa, zaidi tu ya kujua kama kafisadi kanakochipikia.

Suala langu hapa ninaomba kujua elimu ya huyu mtu, ikiwezekana perfomance zake Darasani kwa kuwa alipewa jukumu kubwa na matokeo niliona hakufiti, so apart kwa kigezo cha Tanzania as MONARCH country, naomba nijue uwezo wake binafsi katika elimu yake kwa wale wanaomjua.

Kimtazamo wangu (binafsi) hata class moja ilikuwa HAIKAI mbili ilikuwa HAiSHIKI ila nawaomba records.

Hata kama na wewe (rizi) utaingia kwenye topic hii naomba uweke hadharani uwezo wako sio ule wa kubebwa na mzee tafadhali.
 
Obvious 'like father, like son' ka,a baba yake alikiri ktk mdahalo kuwa hesabu zilikuwa hazipandi ina maana hata mtoto hivyo hivyo. Pia inadaiwa baba yake alipata GPA ya 2.0 wakati yuko chuo so nahisi hata mtoto atakuwa kilaza tu
 
Huyu jamaa sio fisadi mtoto. Alipo maliza Chuo (Mlimani) 2004 au 2005 mwaka 2006 alitender kununu nyumba iliyopo Seaview kwa thamani ya 2 billion. Sasa sijui kwa mda mfupi alipata wapi pesa zote hizo. inaonekana baba yake anaganya pesa zake kwa wanae ili yeye aonekane ni fisadi kiasi. Kwa ujumla haka kabwana mdogo kalikua hakana uwezo saana pale chuo. Mzee alikapeleka UK kuchukua Master kamasijakosea ni ya Sheria. Je wenzangu mmewahi sikia kanauwezo wa kusimama Mahakamani?. Au ndio kanaweza fanya ya Babayake alipoulizwa swali unaonaje hali ya nchi-kimaendeleo yeye akasema nilipita kagera na msoma nikakuta nvua zinanyesha sana.
 
AISEEE...Rais tunaye Watanzania.
 
What I know from this dogo ni kwamba anaandaliwa kuwa president wa miaka ijayo, thus so!
 
Inawezekana mkuu, .... kwa sababu hii nchi watu wote tumegeuzwa vilaza kwa hiyo siyo ajabu tukaongozwa na vilaza!

Kweli watu wote wa vijini nivilaza. Ndio maana sisi wa mijini tumekataa kutwa vilaza kwa kuchagua CHADEMA.
 
Nasikitika sana kila nionapo majina ya Riziwani na Miraji Kiwete basi moja kwa fikra zangu hukumbuka [FONT=Geneva,Arial,sans-serif]Uday na Qusay Saddam Hussein.
[/FONT]
 
Huyu jamaa sio fisadi mtoto. Alipo maliza Chuo (Mlimani) 2004 au 2005 mwaka 2006 alitender kununu nyumba iliyopo Seaview kwa thamani ya 2 billion. Sasa sijui kwa mda mfupi alipata wapi pesa zote hizo. inaonekana baba yake anaganya pesa zake kwa wanae ili yeye aonekane ni fisadi kiasi. Kwa ujumla haka kabwana mdogo kalikua hakana uwezo saana pale chuo. Mzee alikapeleka UK kuchukua Master kamasijakosea ni ya Sheria. Je wenzangu mmewahi sikia kanauwezo wa kusimama Mahakamani?. Au ndio kanaweza fanya ya Babayake alipoulizwa swali unaonaje hali ya nchi-kimaendeleo yeye akasema nilipita kagera na msoma nikakuta nvua zinanyesha sana.

ha ha ha ha haaa mkuu hii kali!! ni kweli jemedari mkuu aliona mvua kama maendeleo ya nchi?

loooh naombeni audio wakuu niiweke kwenye archives yangu. kweli tulipata Rais
 
Kweli watu wote wa vijini nivilaza. Ndio maana sisi wa mijini tumekataa kutwa vilaza kwa kuchagua CHADEMA.

You are totally wrong mkuu...Watu wa vijini ni imara sana katika misimamo yao kuliko ma-opportunist wa mjini. Hebu angalia majimbo ambayo consistently yamechagua wapinzani yako wapi? Ukilinganisha na nchi kama Kenya, Tz bado watu wa mjini wanaboa sana ingawa mwaka huu wamejitahidi kidogo!
 
Wanajamvi bado swali kujibiwa, huyu kijana kilaza au? this skeleton needs some meat
 
Unaweza kutupatia ushahidi usio na chembe ya shaka kwamba wewe siyo kilaza?
 
Wanajamvi bado swali kujibiwa, huyu kijana kilaza au? this skeleton needs some meat

Naliwahi kusikia habari zake kuwa ni dizaini ya spana mkononi.. Labda ndiyo maana amebebwa na IMMA advocates ingawa sijui kama aliwahi kusimama mbele ya pilato akisimamia kesi!
 
Kwa taarifa za uhakika huyu jamaa anaendeleza ufisadi wake resently ifahamike kabisA ridhiwani si mkazi wa arusha ila katika mgao wa viwanja uliofanywa na halmashauri ya arusha amepata lion share so he is threat wadau astahili kudhibitiwa cause ashajifanya mungu mtu huyu KILAZA!
 
You are totally wrong mkuu...Watu wa vijini ni imara sana katika misimamo yao kuliko ma-opportunist wa mjini. Hebu angalia majimbo ambayo consistently yamechagua wapinzani yako wapi? Ukilinganisha na nchi kama Kenya, Tz bado watu wa mjini wanaboa sana ingawa mwaka huu wamejitahidi kidogo!

Mkuu mimi nazunguka sana Mikoani Hasa Wilayani na hasa vijijini-Huko ni ccm tu. Nakuambia mkuu ingawa mijini ndio wakua wajanja ila ni kwa kasi kubwa kuliko vijijini ambako mafisadi huwa wanaenda na kuwatishia watawakatia mborea za ruzuku, vita na mengineyo ambayo ma bushman huamini nadhani na utandawazi na elimu vinachangia.
 
Back
Top Bottom