Ridhiwan Kikwete, Watu Wanakusema Vibaya

Ridhiwan Kikwete, Watu Wanakusema Vibaya

Riz ni baba yake %95. Labda mazingira yachangie kupunguza tena hizo %
 
Dogo hana uwezo kabisa wa kusimama mahakamani kama wakili wa utetezi au wa mashitaka. It will be a slam dunk for the other side!!!
 
Naliwahi kusikia habari zake kuwa ni :doh:dizaini ya spana mkononi.. Labda ndiyo maana amebebwa na IMMA advocates ingawa sijui kama aliwahi kusimama mbele ya pilato akisimamia kesi!

kumbe urembo wa uso tu, kama nanihiiii, huyuhuyu nani huyuu.....aaagh huyu mwenyekiti wa nini ile tena?
 
Wabongo tumezoea spoonfeeding! Yote yaliyoelezwa hujaona detail yoyote! Kumbe na wewe akili yako kama Riz 1 tu.
 
najua anamiliki Nyumba iliyopo pale Mikocheni chuo cha TSJ unapandisha Kidogo hivi kuna ka uchochoro ka kwenda RoseGarden na imeangaliana na ile ya Jaji Msumi kwa kweli ni jumba la Kifisadi Mnooo

Miraji ndiye anaongoza lile kundi la wavuta Bangi pale mikocheni karibia na shule ya Msingi Mikocheni panaitwa king'oko nda vijana wale kipindi cha Kampeni walikuwa wanakuja kusombwa kwa ajili ya kushangilia Kikwete mhhhhhhhhhh:tape:
 
Ridhiwani Jakaya Kikwete


Born on 16 th April, 1979 in Tanzania.

Education:

University of Dar es Salaam (LL.B, 2005)

Work experience:

Internship/ Legal Officer at IMMMA, 2005 to date.

Languages: English and Swahili.
 
wadau nashukulu kwa michango, je hamna hata mtu mmpja aliyewahi kupata data zake ktk masomo?? Kwa kusema eti anaandaliwa kuwa rais kweli atakayempigia kura nachelea kusema atakuwa MWEHU, so ingekuwa ni vizuri kama tungepata records zaqke tukazoweka hapa jamvini ili tuweze kujua anabebwaje
 
acheni wivu wa kiuasherati tafadhali,leteni post zenye maana apa plzzz
Lazima kwa mtazamo wangu uliingia humu UKIJUA KUWA WANAMSIFIA JAMAA YAKO (inaonyesha ulikuwa interested saaana ndo ukafungua hii post)!!!

Kumbuka kama mtu ALIYESIMAMIA KAMPENI ZA RAISI WAKO hakiwa hana sifa (kile chama kinao viongozi wa vijana na wengineo) ipo haja ya kumjua, so kwa kuwa amekuwa akikupa vijisenti ndo unakuja kuwaambia watu WANAONA WIVU!!

NAhisi kila mtu humu anayo shughuli yake ya kufanya.

Firkiria
 
Huyu dogo ni wakubebwa tu kwa sababu ya jina la babayake nakumbuka tulipo kuwa Mlimani Rais wa DARUSSO Julias Lugemalila alimpa uwaziri kwasababu tu baba yake ni rais wa nchi,wakati huo alikuwa 1ST year hata bylaws alikuwa haja maliza kusoma
 
Nani anasema watoto wa Saadam wanafanana na wa JK? Inaonekana jamaa amebobea katika utaalam wa kulinganisha manake kama kuna tofauti ya pande hizo mbili basi ni ndogo sana.
 
sipendi kusikia hilo jina maana linanichefua
 
Mkuu mimi nazunguka sana Mikoani Hasa Wilayani na hasa vijijini-Huko ni ccm tu. Nakuambia mkuu ingawa mijini ndio wakua wajanja ila ni kwa kasi kubwa kuliko vijijini ambako mafisadi huwa wanaenda na kuwatishia watawakatia mborea za ruzuku, vita na mengineyo ambayo ma bushman huamini nadhani na utandawazi na elimu vinachangia.

Umetembelea wilaya gani hizo mkuu? Au unataka tuanze kukuhesabia majimbo ambayo toka 1995 yalichukuliwa walau mara moja na upinzani na huwa shughuli yake wakati wa uchaguzi ni pevu?
 
Ridhiwani Jakaya Kikwete
ridhiwani.jpg


Associate Admitted to the Bar, June 2010.

Practice Areas:

Commercial Law
Brief biography:

Born on 16 th April, 1979 in Tanzania.

Education:

University of Dar es Salaam (LL.B, 2005) Work experience:

Internship/ Legal Officer at IMMMA, 2005 to date.

Member:


Tanzania Youth Council
Country Representative to the Commonwealth Youth Programme

Languages:
English and Swahili.
Email: kikwete@immma.co.tz or Ridhiwani.Kikwete@dlapiper.com
 
KWANI RIDHIWANI NDO NAANI?KWELI NI MTOTO WA KIKWETE AU?YAANI WAKUMZAA?Kama mliosoma nae mnamfahamu jitahidini mkamwambie ajirekebishe maana mh.....mtoto wa prezdaaa tena...
 
2015v itafika na ndio mwisho wake wa kung'ara - ivumayo haidumu
 
Back
Top Bottom