Ridhiwan Kikwete: Mimi si fisadi

Nafikiri wanataka kurudisha utawala wa kifalme kama alivyo king Mswati wa Swazy,au akina malkia Elizabeth, ambapo ufalme unarithiwa kifamilia. Lakini ndugu zangu,Mungu yupo anaona haya. Kwa wana dini mnakumbuka wana wa Israeli walipokuwa nchi ya Misri? walilia sana na Mungu alisikia kilio chao na kumtoa Musa toka kuwa mchungaji wa kondoo hadi kuwa kiongozi wa kuwatoa wana wa Israeli toka kwenye mikono ya Pharao.

Ukombozi uipo niani kinachotakiwa nikumwangalia Mungu,anajua jinsi ya kututoa hapa tulipo. tukisema tujipange kuandamana itakuwa kama vita vya majimaji 1905-1906,hawa jamaa wanavifaa vya moto,na kamanda Kova amekwisha toa onyo kwa watakao andamana sisi tunanini? itabii tulie majimaji!!
 
ndiyo tatizo la kuwa na kiongozi mkwere kila kitu kitaendeshwa kikwerekwere tu...............kulinda mafisadi,kujitengenezea makampuni feki km richmond, kuvunja katiba ya nchi kwa kulete udini, kuwa muongo na mengine yanayoambatana na hayo
 
Huyu dawa yake iko jikoni,, Iko Siku ambazo sio nyingi seregea kutamuhusu yeye na baba yake..

Time will come they will pay for the dirty things they have done in this country...
 
Huyu dawa yake iko jikoni,, Iko Siku ambazo sio nyingi seregea kutamuhusu yeye na baba yake..

Time will come they will pay for the dirty things they have done in this country...

Jela hujafika wewe fisadi mdogo unayekaa kutumia Internet ya serikali kuagiza magari kutoka JapaneseVehicles.com!
 
Dogo Ridhiwani tunawajua Wahindi mnaojificha nyuma yao kuitafuna nchi...just shut up you parasite...
 
Kama ni kweli anazingumzia ana pesa Bank isiyofikia hata 10Mil, ni kiwango kidogo sana hicho wala hapaswi kulaumiwa kwa lolote.

Mambo mengine kama shamba, nyumba,kutembelea VX ni kitu cha kawaida, linaweza kuwa gari la nyumbani huyu ni mtoto wa rais ana masilahi yake serikalini kupitia baba yake. Na pia anafanya kazi nadhani wote tunaofanya kazi tunajua zile njia zetu za tik tak! tik tak! inamaana nazo utautangazia Umma? Tusidanganyane hakuna hata mmoja wetu aliiyendelea bila kucheza makato-style! kazini.

Hata sisi wenyewe wana JF vitu hivi tunavyo shamba, nyumba, gari na pengine hata Akiba ya 50Mil. sasa inamaana tuhojiwe tumevipataje?

Mimi nadhani kama kitu kimekuwa na utata hicho ndicho tukijadili ilikuweka mambo sawa, lakini si'kwa kufuatilia vitu vidogo-vidogo vya kibinafsi hatutakuwa kwenye nia njema ya kurekebisha tabia, bali majungu na kuchimbuana.

Simfahamu Ridhiwan na zungumzia kiujumla....

Ni kwamba na wewe umeamini maneno ya riz1???? kwamba ana ten-m??? we kweli kilaza!!!

Huo ni uhuru wake wa kuongea, na istoshe wanaopaswa KUMCHUNGUZA si ndio hao hao wamekuwa wakimsafisha baba yake na WASHKAJI ZAKE?? ukitaka tujue UKWELI, na kama kweli anaridhia, na ikiwezekana alipwe MARA KIASI ANACHOSEMA ANACHO, iundwe TUME huru.

Weeeeeeeeeeee tutatiana aibu kaka. Hata Lowasa atakwambia nina 40m, Rustum Azziz Sakari atakuambia ana 52m,,,,, BABA WANAO UHURU katika nchi inayoongozwa kifisadi, siyo ya Mwalimu.........

kajifunze kumuelewa mtu, umri wako unaenda SIO KILA LITAMKWALO NA MTUHUMIWA NI LA KWELI.....
 
that baboon should keep quiet viwanja vya burka vilivyotengwa kwa ajili ya wakazi wa arusha yeye alipatiwa kwa vigezo vipi? fisadi nyangumi huyu!
 
Ninachoshukuru ni kwamba harakati za kuwakomboa Waisrael zinanukia tena siku bado kidogo sana. Ole wao Mafisadi watalia na kusaga meno siku ikiwadia kwanza mpaka sasa pamoja na hela walizoiba, bado roho zao haziko huru maana wananyooshewa vidole kila wapitako. Una hela lakini unaishi kwa hekaheka sijui tutumie mbinu gani ili tujinusuru?. Za mwizi ni 40. Mnalo limewaganda pale mbinu zitakapoisha. Habari ndo hiyo.
 
Binafsi nashindwa kuamini kabisa kama kweli viongozi bora wa watanzania ni lazima watoke kwenye familia za viongozi waliopo madarakani.

Hawa jamaa wamefanya nchi hii ni ya baba zao eti kwa sababu wana uwezo wa kifedha wa kununua uongozi!! Inasikitisha watoto wa wakulima wenye uwezo mkubwa kuliko wao wanapokosa nafasi ya uongozi kwa vile tu hawana uwezo wa kifedha, inauma sana uongozi unapochaguliwa kwa nguvu ya fedha bila kujali uwezo wao, hao baba zao wenyewe hawana uwezo wa uongozi, ipo siku mungu atatupa nguvu mpya ya kupambana na hawa watu, kila kitu kina mwisho wake


Mungu huyohuyo ndie kasema aliye kuwa nacho atazidi kuongezewa sasa hapo vipi? Mimi ushauri wangu huu kwavile watoto wanaonyesha kupenda kufuata nyayo za wazazi wao basi mtoto wa mkulima afuate nyayo za mkulima na wa mwanasiasa afuate nyayo za mwanasisa. Hivyo basi mtoto Wa Mzee mwinyi awe rais 2015, Kikwete ajitahidi kumuandaa kwa hilo na tutamuita ruksa jr, ruksa jr aendeleze kumuandaa riz1 ili 2025 achukue nchi na kama kuna wa EL ambaye yuko interested naye ajiandae ili 2025 riz1 ampe u pm halafu wakati huo tutawaita boyz2 men jr.

Kwa staili hii kutakuwa na katiba mpya nchi hii kweli? naona kuna waheshimiwa wabunge tunaowategemea kutuongaza kwenye harakati za kudai katiba mpya wako wanaijadili maada hii kwelikweli sijui wanapata hata muda wa kupitia kanununi za bunge na kuzielewa. Tusubiri na tutaona ila na pata wasiwasi.
 
The Boy Is Dangerous In Featuere The Family In East Cost Make Sure Make Followup On Him Just Gather Any Thing About Him,in Feature Will Be Of Good Use For The Family,just Amewahi Ku Baka,steal,just Gather Information,

mimi nina data moja ya yaliyotokea tanga kituo cha polisi chumbageni walipokamatwa watu fulani na dawa za kulevya akiwemo mzungu
 
Tafuteni Mali zenu na nyinyi, Muacheni bwana Mdogo aishi, Mimi sijaona ukwasi alio nao mnaomuandama, na ata akiwa na kiasi kidogo yafaa tu, kwa maana amezaliwa kwenye Maua muacheni anukie!.
 
Oh Shit!!

I wish angezitaja hizo mali zake (Shs milioni kumi na shamba) chini ya kiapo. Ingekuwa ni reference nzuri sana ya kuitumia siku za mbeleni.

But still tumeshapata leads kuhusiana na mali anazodai anazi-own kwa sasa (By June 1st 2008). He can still be quoted in the future kwa kutumia maneno yake haya.
Watu wana majina
 
Back
Top Bottom