by BONGOLALA
Mali za Riz1 zipo katika kampuni ya mafuta KOBIL na nyingine anamiliki malori ya mafuta kwa kupitia mpambe wake Davids Mosha hilo halina ubishi!!!
by Wakati
i dont remember Mtikila losing a battle in court, is this going to be his first loss?. I dont think so!
by Shark
Anamiliki kipande cha ardhi bagamoyo ambacho amekikodisha kwa watu wa tigo kwa $1,000.00 kwa mwezi,
the same charge to what tigo is paying for plot/land at masaki/namanga/mikocheni n.k.
by Maandamano
anajenga hotel ya kimataifa pale kibaha mailimoja,...ana petrol station ambayo ni imegharimu fedha nyingi za walipa kodi kuliko petrol station yoyote dsm..
by Takeurabu
sio hivyo tu ndugu yangu inasemekana pia hata yale magorofa yanayojengwa morogoro msamvu riz1 ana hisa! wafuatiliaji wa mambo wananena kuwa huwa anakwenda mara kwa mara ku-visit!.
by Wizzo
nasikia anahisa tanzanite one mererani
by reformer
Safi sana..naona dogo sasa kaamua kabisa kummaliza babake na chama chake.Hata ukishinda hiyo kesi mahakamani, hutashinda umma wa watanzania walio na hasira na ww kilaza uliyedisco UD mara 2 ila ukamailza kwa kubebwa.Hakuna asiyejua kwamba una trucks 150, vituo vya mafuta, hotels, nyumba kibao za kifahari, viwanja, magari ya kifahari...kwa kazi gani unayofanya.
acha ushabiki huyo ridhiwani hana akili ya kuinvest kwenye building contractor.msitake kuwaharibia kampuni za watu majina.skol ipo siku nyingi kabla ridhiwani hajamaliza chuo na wanafanya kazi zao bila wasiwasi na ni watu wazima kwa hiyo haiiningii akili mtoto kama ridhiwani kuwekeza pale.kama una ushahidi tumwagie usijekuta umetumwa na wale wahindi wenye kampuni ya estim kuchafua watu.
Wakuu nilikuwa kwenye daladala moja(Mwanza) Konda akapita kwenye petrol station ya Lake oil akaanza kumpondea Riziwan ndani ya daladala.Akuishia hapo nakusema siku CCM wakitwibia kura zetu lazima hiki kituo hichi tukichome moto.Abiria rika lake wakasema dogo Riz ni fisadi balaa.Simpendi huyu mtu...............Washitakiwa wengine ni mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya free media ltd, mhariri mtendaji wa Tanzania daima na mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya pPintech ltd. Kesi imefunguliwa jalada namba 109, ilitajwa jumatatu wiki hii mbele ya msajili wa mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam Amir Msumi.
Ridhiwan pamoja na mambo mengine anataka washitakiwa hao kumlipa fidia ya shilingi bilioni 2, pia ameitaka mahakama kuwazuia wadaiwa hao na mawakala wao kutorudia tena kutangaza maneno ya KASHFA katika vyombo vya habari likiwemo gazeti la Tanzania daima. Kwake binafsi na BIASHARA ZAKE, na wamwombe radhi bila masharti yoyote.
Kesi imeahirishwa tena hadi disemba 12 mwaka huu. Kesi itaahirishwa mpaka 2015 halafu Dr. Slaa anatiwa ndani miaka kadhaa wameshausoma upepo wa 2015 kupitia Igunga
Washitakiwa wengine ni mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya free media ltd, mhariri mtendaji wa Tanzania daima na mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya pPintech ltd. Kesi imefunguliwa jalada namba 109, ilitajwa jumatatu wiki hii mbele ya msajili wa mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam Amir Msumi.
Ridhiwan pamoja na mambo mengine anataka washitakiwa hao kumlipa fidia ya shilingi bilioni 2, pia ameitaka mahakama kuwazuia wadaiwa hao na mawakala wao kutorudia tena kutangaza maneno ya KASHFA katika vyombo vya habari likiwemo gazeti la Tanzania daima. Kwake binafsi na BIASHARA ZAKE, na wamwombe radhi bila masharti yoyote.
Kesi imeahirishwa tena hadi disemba 12 mwaka huu. Kesi itaahirishwa mpaka 2015 halafu Dr. Slaa anatiwa ndani miaka kadhaa wameshausoma upepo wa 2015 kupitia Igunga
Mtoto wa mama kujtoa muhanga unadhan mchezo,mwanao akitumbukia baharin kumfuata huwez mtu mwnywe unavypenda zinaa
Ridhiwani utaumbuka wewe ni billionea na fisadi,utajiri ulioupata umeupatajepataje ndani ya mwaka mmoja ni millionea,ebu tuambie kuna mwanasheria gani ndani ya miaka mi2 tu akawa bilionea na hizo fedha umezipataje? Weka vielezo vyote,maghorofa yako ya magomeni, mikocheni, oysterbay, masaki, arusha, iringa, pia weka wazi semi trailer 100 umezitoa wapi?
Asas, lake oil, machimbo ya mchanga na mawe Iringa hela metoa wapi?? Kwa nini ujawashtaki kama ulivyoahidi ndani ya wiki 2? Kama ushafuta ushaiidi wa mali zako au uliowamilikisha tutaanza na wao hizo mali wamepata wapi na wawe na vielelezo vyote, hadi TRA tutaenda tujue kama kweli walilipa kodi kama hawajalipa tunawafungulia kesi ya kuujumu uchumi
Kwa nini Dr. atiwe ndani ni kesi ya mauaji?
Riz1 atuambie km mke wake alistahili kupata 100% ya loan frm HESLB while watoto wa walalahoi wamekosa na wamefaulu na kudahiliwa sasa sijui ada nani atawalipia,HUYU MTOTO FISADI,MBINAFSI NA ALAANIWE.
Riz one ni mwizi mkubwa wa mali za watanzania ni heri angekufa hata leo maiti yake tuitupe baharini
Sijui ni kwa nini watu wa CCM mnamchukia Slaa namna hii...