Chief Isike
JF-Expert Member
- Jan 17, 2010
- 445
- 462
haswa,ndo maana yakeTupe vitu vyenye uhakika tuchangie
Wakuu sijui ninyi mtazichukuliaje habari hizi, kwangu mimi naziona ni habari za kusikitisha. Habari kutoka chanzo cha habari cha kuaminika kutoka Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Mwalimu Nyerere (JNIA), zinasema kuwa kijana, mtoto wa mkulu, Ridhiwan, kaonekana uwanjani hapo, ikisemwa kuwa ana safari yake binafsi, kwenda Dubai.
Nachelea kulia. Naomba nijikaze kiume, kijasiri ili niweze kulisema hili, naomba niwezeshwe, maana sasa nchi inakoelekezwa, aaaagh, basi wahenga na Mungu wanajua...KAPELEKWA UWANJA WA NDEGE NA ESCORT AKIWA KATIKA GARI YA IKULU, lenye ngao na polls mbili lakini HALIKUWA NA BENDERA. Mbele kulikuwa na gari ya escort ya king'ora na nyuma gari ya usalama, so the source said.
Kuna mengine tutayaongeza. Kuna kazi nafanya mara moja wakuu, just kuanzia hiyo. INASKITISHA JAMA, THIS IS EXTREMEEEEEEEEE
Kulikuwa na taarifa za kiintelijensia zikionesha kuwa angedhurika na hivyo Mkuu wa nchi angeathirika kisaikolojia na kuacha kushughulikia matatizo ya wananchi hivyo kuagiza yafanyike uliyoyaona mkuu. LOL.Wakuu sijui ninyi mtazichukuliaje habari hizi, kwangu mimi naziona ni habari za kusikitisha. Habari kutoka chanzo cha habari cha kuaminika kutoka Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Mwalimu Nyerere (JNIA), zinasema kuwa kijana, mtoto wa mkulu, Ridhiwan, kaonekana uwanjani hapo, ikisemwa kuwa ana safari yake binafsi, kwenda Dubai.
Nachelea kulia. Naomba nijikaze kiume, kijasiri ili niweze kulisema hili, naomba niwezeshwe, maana sasa nchi inakoelekezwa, aaaagh, basi wahenga na Mungu wanajua...KAPELEKWA UWANJA WA NDEGE NA ESCORT AKIWA KATIKA GARI YA IKULU, lenye ngao na polls mbili lakini HALIKUWA NA BENDERA. Mbele kulikuwa na gari ya escort ya king'ora na nyuma gari ya usalama, so the source said.
Kuna mengine tutayaongeza. Kuna kazi nafanya mara moja wakuu, just kuanzia hiyo. INASKITISHA JAMA, THIS IS EXTREMEEEEEEEEE
Q1. Anaandaliwa kuzoea uongozi ili siku akishika nchi asibabaike, Mubarak pia alikuwa anamwandaa mwanae ila waandamanaji wamemwahi..,Mkuu kwani ulikuwa hujajua?
Swali linabaki:
Je huyu si raia wa kawaida kabisa kama sisi, inakuwaje anapewa vipaumbele vikubwa namna hii?
Je katiba mpya imeshaundwa au ya zamani kubadilishwa/kuongezewa kifungu kinachomtambua "First Son"?
Je urais ni mali ya familia kiasi kwamba mmoja anapofanikiwa kuwa rais basi familia nzima inapata prevelegi kama zile za rais?