MtazamoWangu
JF-Expert Member
- Apr 25, 2009
- 313
- 7
Hizi information ni nzito jamani na zinahitaji kichwa kiwe kimetulia ndio uelewe haswa kilichotokea....naona kuna kamuelekeo kakusafishana kwenye hii ajenda na itafika hatua hoja muhimu itafunikwa na tutawasafisha wahusika....leo tuaanza kuona documents ambazo hazikwepo mwanzo na matokeo yake ni kubadili muelekeo wa suala hili na kupoint kidole upande mwingine....jamani watz sasa ni wakati wa kujadili mambo mengine ya maana yanayohusu nchi yetu na hili suala la richmond litolewwe uamuzi wa maramoja,linaweza kuja kuharibu amani ya nchi yetu....musituchanganye....
Angalia mawasiliano ya gile na sita wakati akiwa tic na muda richmond iliposajiliwa....hata ile redvco nayo kule texas imesajiliwa 2003....na hii barua hailezi kwamba wakati huo huyo bwana gile alikuwa anashughulikia richmond....jamani acheni kuchanganya watu na hoja zetu mnazotia sukari na chumvi kuwalambisha wananchi....msitupandishe hasira hata wale tunaowaamini tukawachukia na tukashinda kuleta maendeleo katika nchi yetu.....