That is very stupid, huku ni kutapatapa kwa mwandishi wa Tz Daima. Hiaingii akilini mwaka 2001 na ishue mpya ya mkataba mbovu wa Richmond ninachokiona hili gazet limenunuliwa na wahanga wa Richmond ili waweze kujisafisha machon mwa watu.
"History will jugde our action"
"History will jugde our action"