donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,092
- 21,773
Kwa wakuu wapenzi wa wrestling sina shaka huyu kijana mzee wa 619 ni mmoja ya wanamieleka wanaokuvutia. Mbabe huyu ameweza kuteka nyoyo za mashabiki wengi wa mieleka esp. Kwa style yake ya kuvaa mask usoni na kuficha sura yake. But leo, hebu tumuone bila mask bwana mysterio: