Rey Mysterio......!!!!

Rey Mysterio......!!!!

Jamani kwa wale wajuvi wa mambo kuna jamaa wa kuitwa sonjay dutt alikuwa TNA ana michezo ya kitundu kama mysterio.yuko wapi sikuizi
 
Hapo roman reigns lazima akae. Ila kuna wakuda wakina koffi kingston wazee wa Booty-O wanazingua kishenz
wale changamsha genge wale me nawakubali sana yan wale mwanzo watu waliwadis ila sasa hv wanakubalika
 
Ukitaka kujuwa kwamba Roman ni mkali muulize Lesnar kilicho mpata, Lesnar ni size za kina undertaker lakini Lesnar aliomba poo kwa roman.... Ana style za hatari akikupa Spear na supermen punch lazima ukae
HUO msupa man punch me uwa nauita nondo kwere
 
the mysterious Rey Mysterio mzee wa 619,jamaa mwepesi balaa kama kina James na Matt Hardy.

sema ndo vile unaweza kuta ni choko,mbona maiko dudukofi sijui maiko skofildi ni choko na ana action za hatarii??!!

wenzetu hawa hawaeleweki,unaweza kuta hata undertaker nae choko...hahahahaha mwee ikisu hikiii Po kya ngelo fijho
undertaker

Ila inawezekana hawana kanuni hawa jamaa, kama kuna wanajeshi wanajitangaza hadharani kugawa minduku kuna nini tena hapo???
 
bora aendelee kuvaa mask....sura hii haifai kupigana wwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom