Rey Mysterio......!!!!

Rey Mysterio......!!!!

the mysterious Rey Mysterio mzee wa 619,jamaa mwepesi balaa kama kina James na Matt Hardy.

sema ndo vile unaweza kuta ni choko,mbona maiko dudukofi sijui maiko skofildi ni choko na ana action za hatarii??!!

wenzetu hawa hawaeleweki,unaweza kuta hata undertaker nae choko...hahahahaha mwee ikisu hikiii Po kya ngelo fijho
Hahaha, he is straight thou
 
Hauelewi mtu kua straight mkuu? Kwamfano ukiulizwa what's your sexual orientation utajibu vp mkuu?
 
hahah ila ile mashine haiwez roman ni jiwe aseee
We utaona tu, kipindi kile wana kakikundi chao na kina dean ambrose na Seth rogens kudadeki na mtindo wao wakuvamia mechi wakakutana na mziki wa cena,mysterio, deadman.ilikua shida
 
We utaona tu, kipindi kile wana kakikundi chao na kina dean ambrose na Seth rogens kudadeki na mtindo wao wakuvamia mechi wakakutana na mziki wa cena,mysterio, deadman.ilikua shida
kweli kipind kile ata mm nilikuwa siwakubali aseee ila walivyoseparate sasa kila mmoja kivyake ndo roma akasomeka vizuriiii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom