Rey Mysterio......!!!!

Rey Mysterio......!!!!

the mysterious Rey Mysterio mzee wa 619,jamaa mwepesi balaa kama kina James na Matt Hardy.

sema ndo vile unaweza kuta ni choko,mbona maiko dudukofi sijui maiko skofildi ni choko na ana action za hatarii??!!

wenzetu hawa hawaeleweki,unaweza kuta hata undertaker nae choko...hahahahaha mwee ikisu hikiii Po kya ngelo fijho

!
!
Wa kukaja.... Mgonile
 
Ena malafyale, ujhobhile
 
Kwwli ni babyface inasemekana ni moja ya reasons ilimfanya awe anavaa mask. He is straight na ana mke na watoto nafkiri kwa sasa anaishi Cali

Mkuu umeweka hilo neno ukimaanisha nini kwenye sentensi yako....
 
Mrembo hadi anatamanisha
Si amini kama maneno hayo umetamka Mshana jr... mimi nilihisi kuwa wewe n mtu mzima/baba jinsi yako ni ya Kiume... ni miongoni mwa watu ninao waheshimu sanaa humu Ndani.. sijui kwa nini ume type maneno hayo.
 
meku7 kuna wakati just take it easy...vingine huwa ni kwa ajili tu ya kuchagiza mada usichukulie serious na my apology kwa kukukwaza
 
Nashukuru Mr mshana kwa kunielewesha.... unajua mimi ni kijana mdogo am stil learning.....
 
Heh jmn afu ni mchezo wny mashabiki wng sana!!binafc ciuelewagi mana wanachofanya ni zaid ya ukatili lol!!!inaogopesha!!!
 
Siku hizi hakuna wakali WWE kabisa ukiacha Akina Randy, Cena, Lesnar
hahaha mkuu unacheki kweli mieleka au ni mambo ya history tu za watu wa kale ....kozi mtu kama roman .,aj style,dean ambrose na wengne weng
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom