Revenge Inauma Usipime...!

Tabia hizi nimeziona sana kwa wanawake wenye fedha/kipato kikubwa kuliko mwanaume mambo yote ya nyumbani anamaliza mwanamke hivyo basi mwanamke anaonekana kichwa cha familia anamkalia juu mwanaume anabaki kuwa mwoga ananywea anakuwa ***** kabisa zezeta

na ndio mkamage na nyie kupenda mteremko, hutaki kuanza na mwenzio kapuku kama nyamayao hapa unakimbilia kutunzwa, kwanini nisikufanyie vimbwanga?
 
Na bado wanaishi nyumba moja?
Ndoa kazi aisee

ukisikia kuleteana virusi ndio huku sasa, kila mmoja ana lake usiku mnavi mix, hapo tu mie ndio nachokaga aise, natamani nimkumbushie mtu kuvaa condom but ndio siwezi sasa.
 
Hakuna lolote, ni ujinga tu na kutojitambua

Tabia hizi nimeziona sana kwa wanawake wenye fedha/kipato kikubwa kuliko mwanaume mambo yote ya nyumbani anamaliza mwanamke hivyo basi mwanamke anaonekana kichwa cha familia anamkalia juu mwanaume anabaki kuwa mwoga ananywea anakuwa ***** kabisa zezeta
 
ukisikia kuleteana virusi ndio huku sasa, kila mmoja ana lake usiku mnavi mix, hapo tu mie ndio nachokaga aise, natamani nimkumbushie mtu kuvaa condom but ndio siwezi sasa.
Vikijimix vinakuwa sugu kuna mawili mwaweza ishi maisha marefu kwa kuwadedisha wanao watamani au mkafa kwa kuugua mafua tu chali
 
Hii analysis ya udokta umeitoawapi, tulikuomba ubadilishe avatar, urudishe ile ya zamani, mbona hujairudisha. Fidel huyu mwanamke ni mpumbavu kaibomoa ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe

Vikijimix vinakuwa sugu kuna mawili mwaweza ishi maisha marefu kwa kuwadedisha wanao watamani au mkafa kwa kuugua mafua tu chali
 
Ugumu wa maisha? Ndo umrudie mumeo asubuhi? Sasa atakoma, nakwambia atazimiaje mwaka huu na hiyo pressure sijui kama itashuka

Kumbuka lakini ram njaa haina baunsa yote haya yanafanyika kutokana na ugumu wa maisha
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom