Revenge Inauma Usipime...!

pole zake mtenda akitendewa huisi kaonewa.......sipati picha hiyo nyumba itakuwa katika hali gani baada ya huyo mama kupona......baba asiporudi siku 2 na mama naye anaishia zake kwa siku 2 watoto wanabaki na mdada daaahhh
 
Hata mimi namshangaaga Asprin, huko maternity ward sijui huwa anafanya nini kila siku. Nakwakuwa Asprin yuko hapo hosp maternity ward, mi naomba atoke aende kwenye ward ya mgonjwa wetu atupe data kama amezinduka au la! Manake hadi Dena aje aende jioni ni mbali sana aise

Tusikushangae wewe uliyeko Maternity Ward na hutoki tangu 8th March 2008!!!
 
pole zake mtenda akitendewa huisi kaonewa.......sipati picha hiyo nyumba itakuwa katika hali gani baada ya huyo mama kupona......baba asiporudi siku 2 na mama naye anaishia zake kwa siku 2 watoto wanabaki na mdada daaahhh

Sioni kama wataendelea tena kweli??? Sijui nitaleta update.............
 
Hata mimi namshangaaga Asprin, huko maternity ward sijui huwa anafanya nini kila siku. Nakwakuwa Asprin yuko hapo hosp maternity ward, mi naomba atoke aende kwenye ward ya mgonjwa wetu atupe data kama amezinduka au la! Manake hadi Dena aje aende jioni ni mbali sana aise

Na kweli Ram maana hali ni tete
 
Sioni kama wataendelea tena kweli??? Sijui nitaleta update.............

hata mie naona itakuwa ngumu.........vinginevyo wakae wazungumze na kukubali kusameheana na kuamua kujenga familia yao kitu ambacho ni kigumu kwa sie binadamu.....tutasubiri kuona kitakachojiri
 
Ngoja tusubiri ila huu ugomvi ni wa muda kidogo sio wa leo
 
pole zake mtenda akitendewa huisi kaonewa.......sipati picha hiyo nyumba itakuwa katika hali gani baada ya huyo mama kupona......baba asiporudi siku 2 na mama naye anaishia zake kwa siku 2 watoto wanabaki na mdada daaahhh
Ndo matatizo haya ya kuotafuta mchumba kwenye madanguro
 
Ndio sasa sijui akitoka hospital itakuwaje maana alionyesha kuchanganyikiwa kabisa...............mpaka kwenda kushitaki kwa Chief sio mchezo...................

Dena huyo Cheif ndio nani sasa ?
 
hayo mambo yapo.kuna mama mmoja na yeye anavyomfanyia vituko mume wake,huyo mwanamme ni mkimya ajabu.mwanamume huvutwa shati mbele za watu,nina wasiwasi pia hupigwa.hayo ya kurudi asubuhi ndio tabia yake,siombei revenge ila mambo mengine katika ndoa watu ku take advantage ya mwenzako,haipendezi
 
Sio lazima ubebe laptop Asprin Ipad zinafanyakazi 24/7 mbona waniangusha tumeondoka around 0612am ameamka lakini hajapata nguvu sana

najaribu kutafakar ni jinsi gan mtu unapata muda wa kuchunguza maisha ya mtu then ukafikia hatua ya kulileta hapa,je umempa taarifa kuwa umepost humu? Hapo naweza nikasema unang'ata na kupuliza coz upo nae hosp ukimfarij huku unamteta jf,hawa ni mume na mke saa yoyote wanaweza wakapatana na kurudisha upendo,endelea kuchunguza siku wakirudisha upendo uje utuambie
ni mtazamo tu
 
Back
Top Bottom